Sifa nyingine ya Augustine Mahiga: Yeye ndiye "Shahidi Y" kwenye kesi ya Uhaini ya mwaka 1982/83

Duh! Na utajiri kautolea wapi wakati alikuwa mtumishi wa serikali? Na huyo Harry yupo hai?
 
Yes nilikuwa napenda kufuatilia kesi, hiyo kesi ya uhaini ya Juma Thomas Zangira pia niliifuatilia.
Ilizungumzwa hapa na humu kuna nyuzi nyingi tuu za kesi hii,
Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains Kwenye Bunge Full of Ignorants - JamiiForums

Kesi yenyewe kamili imeripotiwa hapa
Juma Thomas Zangira: Mtanzania wa kwanza kushitakiwa kwa ujasusi - JamiiForums

P
 
Mkuu Kataskopos a.k.a MalikomuLumumba,
it's very true, wazazi wangu wote wawili baba, Mzee Andrew Mayalla (RIP) alikuwa ni mtumishi mtiifu wa Idara na mama still alive ni retired now lakini bado ni well taken care na Idara pia ni mtumishi mtiifu wa Idara, but very unfortunately mimi mtoto wao, I'm not!.

Ila sasa baada ya kuitwa kuhojiwa Dodoma na Kamati ya Bunge, sasa nimejitambua na namtafuta Polepole ili nami niunge rasmi juhudi
P
 
Sasa baba, kwanza samahani nakuita baba coz wewe kwangu ni baba tu kulingana na umri wako.
Kwanini usiitetee maslahi ya watanzania bali unataka uungane tena na watu wanaotuumiza watanzania?
 
Sasa baba, kwanza samahani nakuita baba coz wewe kwangu ni baba tu kulingana na umri wako.
Kwanini usiitetee maslahi ya watanzania bali unataka uungane tena na watu wanaotuumiza watanzania?
Duh...!.
P
 
Duh...!.
P
Najuwa ni ngumu sana kueleza namna ambavyo umeweka maamzi kichwani mwako ila jitahidi basi hata kututetea sisi watanzania tunalia sana na vitu vingi mno ambavyo vinatumiiza sana lakini pia nakumbuka mbali sana siku ile unamuuliza rais maswali najuwa kabisa unajuwa ni kwa jinsi gani kuna mambo yanafanyika kinyume na utaratibu ila una vunga tu
 
Sawa kaka mkubwa, mimi mdogo wako nikutakie kila la kheri.
 
Tunaomba sofy copy ya hiyo kesi jamani.
 
Tunaomba sofy copy ya hiyo kesi jamani.

..kwa bahati mbaya sinayo.

..ila ninaitafuta, na nikiipata lazima niilete hapa JF.

..hata hotuba ya baba wa taifa alipotangaza vita vya uganda niliileta hapa JF baada ya kuipata.
 
..hiki kipande nimekitoa ktk Eulogy aliyoandika Attilio Tagalile kuhusu Agustine Mahiga.

" It was under Dr Mahiga as Director General of the Intelligence and Security that the 1983 abortive coup against Mwalimu Julius Nyerere was foiled. That abortive coup would have been a fait accompli, had 'Daily News' Editor, Reginald Mhango (who has since passed on) not cautioned Abdallah Mhando for not reporting to the authorities what he had heard from his passenger.

When he said he did not know whom he could report to, Mhango linked him with Charles Kizigha who was close to Dr Mahiga and from their own, it was taken over by the Intelligence. The alleged coup leaders were rounded up and later arraigned and after a two-year trial under Principal Judge, Nassoro Mzavas some of the alleged coup plotters were discharged and others were convicted. " -- Attilio Tagalile
 
Kuna mshtakiwa mmoja katika kesi ile ambaye ni miongoni mwa wale tisa waliopatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha, Bwana Eugene Maganga(Sasa ni marehemu) aliwahi kumuelezea sana Mzee Mahiga

Alisema kama kuna mtu mmoja unayeweza kusema aliishika kesi, akaipeleleza vizuri, akakusanya ushahidi usioacha hata kivuli cha shaka dhidi yao na kupelekea washtakiwa kutiwa hatiani basi ni Shahidi Y! Alikua mtu mahiri wa kazi yake, mwenye kumbukumbu, anayejua kujieleza na very smart. Walikua wakimhomfia wakati wote wa kesi lakini pia walikua wakim admire kwa uwezo wake

Nilikua nje ya jengo la Mahakama Kuu siku ya hukumu yao 1986. The atmosphere kwa walioachiwa ilikua so emotional.. kuna waliotoka mbio, kuna waliokimbilia kanisani. Sara Banyikwa alinitoa machozi. Alipotoka nje ya jengo la Mahakama alilakiwa na ndugu na jamaa miongoni mwao ni mwanae mdogo wa kike aliyekua na miaka chini ya kumi. Alijaribu kumbeba mwanaye huyo lakini masikini hakuweza!!! Alikua amedhoofu sana na aliishia kumkumbatia kwa muda mreefu sana

Wengi ya waliohukumiwa wamefariki baada ya kuachiwa kwa msamaha wa Rais 1993 akiwemo Hatibu Gandhi(Hatty McGhee), Captain Suleiman Matusela "Commando" na Captain Eugene Maganga. Hata aliyetakiwa kua mshtakiwa namba moja kabda ya kutoroka, Pius Mutakubwa Lugangira au "Father Tom" ambaye pia alikua ndio mastermind na paymaster wa huo mpango naye alifariki (natural death) akiwa nchini Uingereza

Wakati ule pamoja na kua na nyenzo duni "kitengo" kilikua na watu wenye weledi wa hali ya juu sana kwasababu kwanza vetting kwa maofisa wake ilikua fair na yenye kuzingatia mahitaji halisi ya nafasi anayopaswa muhusika kuitumikia
 
Sasa baba, kwanza samahani nakuita baba coz wewe kwangu ni baba tu kulingana na umri wako.
Kwanini usiitetee maslahi ya watanzania bali unataka uungane tena na watu wanaotuumiza watanzania?

If you can't beat them, join them.​

 
Kitabu kinapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…