Mkuu Kataskopos, it's very true, wazazi wangu wote wawili baba, Mzee Andrew Mayalla (RIP) alikuwa ni mtumishi mtiifu wa Idara na mama still alive ni retired now lakini bado ni well taken care na Idara pia ni mtumishi mtiifu wa Idara, but very unfortunately mimi mtoto wao, I'm not!.
Ila sasa baada ya kuitwa kuhojiwa Dodoma na Kamati ya Bunge, sasa nimejitambua na namtafuta Polepole ili nami niunge rasmi juhudi
P