Sifa, tabia na janja ya kikundi chochote cha kigaidi

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,895
Reaction score
20,392
1. Kutekwa na kuteswa kwa ULIMBOKA, chadema walikuwa mstari wa mbele kuitaka serikali iunde tume huru ya kuchunguza tukio hili. Hii ni sifa, tabia na janja ya kikundi chochote cha kigaidi kwani hutekeleza ugaidi na kukukimbilia kujifanya kuwa kinatetea raia wanaonewa;

2. Kifo cha MWANGOSI, kikatokea wakati wa mkutano wa CHADEMA ambao haukuwa na kibali cha jeshi la POISI kule Iringa. Mara nyingi kikundi chochote cha kigaidi kikishapanga kutekeleza tukio lolote lazima kifanye hivyo bila kujali kina kibali au la;

3. Kijana Musa Tesha akamwagiwa TINDIKALI kule Tabora wakati CHADEMA na CCM wakihasimiana katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la IGUNGA. Ili kikundi cha kigaidi kianzishwe ni lazima kiwe kinahasimiana na kundi kubwa la watu. CHADEMA kama ambavyo kinajulkana ni chama ambacho ni watu watu wachache wanaotumia mwamvuli wa chama cha siasa/dini. MBOWE, LEMA, LWAKATARE, wawanawajua wenzao;

4. wakati LWAKATARE anatoka RUMANDE kwa dhamana akayatamka haya maneno nanukuu "NILIKAMATWA SIKU SITA BAADA YA KIBANDA KUTESWA NA NIMEACHIWA SIKU SITA BAADA YA KIBANDA KUTOKA AFRIKA KUSINI ALIKOKUWA AKITIBIWA" binafsi niliangalia video ya BUKOBA BOYS, katika video hiyo hakuna sehemu abayo LWAKATARE alimtaja KIBANDA, bali aliyekuwa akimzungumzia ni DENNIS MSACKY, hivyo nilitegemea LWAKATARE angezungumzia kuhusishwa kwake na njama za kutaka kumdhuru DENNIS MSACKY na siyo ABSALOM KIBANDA. Sifa nyingine ya gaidi, hapendi kutamka wazi analenga nani hasa na hutumia matukio megine kutaka kujitakasa.

5. Tukio la mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA kule arusha kulifuatiwa na mambo yafuatayo: kwanza, CHADEMA kufanya mkutano wa hadhara kesho yake kabla marehemu wa mlipuko huo hawajazikwa tena bila kibali cha POLISI, kitendo ambacho kiliiudhi sana SERIKALI na kupitia kwa WAZIRI MKUU ikatoa tamko kali bungeni, tamko ambalo lilitafsiriwa vibaya kuwa Waziri mkuu ameruhusu POLISI kupiga watu tafsiri ambayo Mbunge mmoja kwa sababu aidha ya tabia yake ya ukijiwe kijiwe unaotokana na elimu yake ndogo au kwa sababu ya kutaka kuendeleza fani yake ya usanii akataka kuwachekesha watanzania kwa kumtukana WAZIRI MKUU. pili, MBOWE akatangaza kwa haraka sana kuwa kuna ushahidi wa video unaoonesha kuwa POLISI walihusika; tatu, vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikaeneza maneno kuwa CHADEMA kilifunga CAMERA za CCTV kwenye mkutano huo(swali kwa nini kwenye mkutano huo ndiyokuwe na CCTV cameras?). Hizo ndizo janja za kigaidi.

6.CHADEMA wametangaza kuwa tayari wana makambi ya jeshi katika mikoa yote Tanzania. Nina uhakika serikali ilikuwa halijui hili. Hii ndiyo sifa kubwa ya kikundi chochote ambacho kina malengo ya kuwa cha kigaidi kwa baadaye, huanza kama kikundi cha kisiasa/kidini na kikshaona kimeota mizizi hubadilika kuwa cha kigaidi. Kitendo cha CHADEMA kuwa na kambi za kijeshi mikoa yote Tanzania bara tena kwa kificho ni ugaidi.

7. Hivi karibuni CHADEMA wametangaza kuwa CCM wameingiza sare zinazofanana na za CHADEMA ili kuzivaa na kutekeleza matukio ya ugaidi na ionekane kuwa ni wao. Teh teh teh, hapa kidogo nicheke na kwani kuna kitu nimeng'amua. Inawezekana kabisa askari wanaodaiwa kuwa alimuua MWANGOSI, gari linalodaiwa kuwa ni la POLISI na kwamba ndilo lililiotumika kumtorosha aliyelipua bomu arusha vyote hivi ni mipango ya CHADEMA.

CHADEMA wamekuwa wakitumia matukio kama haya na hasa yale ambayo yamepangiliwa kigaidi kutoa lawala kwa vyombo vya ulinzi kuwa vinahusika, kumlaumu rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa haendi kutoa rambirambi, kulaumu uongozi wa bunge kuwa haukuahirisha bunge na kwenda huko. Mambo yote haya yakiwa na lengo la kutaka kuuaminisha na hata kuwajenga hofu wanannchi kuwa serikali haiwajali. Ndugu zangu hii ni sifa , tabia na janja za vikundi vya kigaidi.

Mytake. 1. Serikali isiishie kulaani CHADEMA kuanzisha kambi za kijeshi, kuna haja ya kwenda mbali zaidi kujua nani mfadhili mkubwa wa mchakato huu wa CHADEMA na kama anatoka ndani ama nje ya nchi na ikibidi hatua za haraka zichukuiwe ikiwa ni pamoja na kulalamikia wafadhili hawa kwenye jumuiya za kimataifa na hasa ikigundulika kuwa wanatoka nje nchi.

2. Serikali iwe makini sana madai ya SARE, MAGARI na MALI zingine zinazodaiwa na CHADEMA kuwa zinatumiwa na ama CCM au serikali kutekeleza vikundi vya kigaidi. Inawezekana kama kabisa CHADEMA wana mali kama hizo, Serikali itumie watanzania wenye uzalendo na nchi yao kutoa taarifa za uwepo na njama kama hizo na ikiwezekana zawadi nono zitolewe kwa watu wa aina hiyo watakaosaidia kuwaumbua maadui wa taifa letu
 
duh, hii kali, kuna ukweli fulani.
 
.....walianza kuvaa magwanda..kisha wakaanza utekaji mdogo mdogo..sasa wanataka kuunda kundi rasmi la ugaidi!
 
Mental Slavery!
Binadamu unajisikiaje pale ambapo unaamuliwa na mwanaume mwingine uandike au kuwaza mambo anayotaka yeye, bila kujali kama unayakubali?
"Njalamatata"!...yaani njaa ni taabu!
 
nahisi bado kuna walakini ila nimtazamo wangu tu, muandishi amelenga sana upande fulani.
 
ndugu hebu jitahidi kuwa na huruma yaani inavyoonekna ni kwamba wewe uliona uipake matope chadema kwa hoja ya ugaidi lakini ndugu yako angekufa pale naona ungekuwa wa kwanza kuaminini kuwa serikali inahusika , nataka nikwambie ndugu sisi watu wa pembeni tunajua zaidi yako wewe endelea kuchambua hoja utachambua mpaka mavi
 
MADA hiyo MKUU, JICHO LA3, kakuandikia mtu:al Qaeda wakifanya vitu ama TALIBAN AMA WALE KULE PALESTINA HUTAMKA HADHARANI KUWA WAMEFANYA!TENA WAKATI MWALIMU NA WENGINEO WAMEKABANA KOO NA MKOLONI GAVANA HAKUACHA KUWAITA WAHUNI,HAKUACHA KUWAFUNGULIA KESI.MZUNGUKO HUU UNAJIRUDIA TU!CCM IS A DYING HORSE,A DYING HORSE HAS VERY VERYB POWERFUL KICKS!~CHADEMA MKAE CHONJO,HAO CCM WATAUA HATA MAELFU YA MAELFU ILI WABAKIE MADARAKANI 2015!HII HAIJAFIKIA KIWANGO CHA PROPAGANDA ALIZOTUMIA HITLER IMETUFAHAMISHA TU KWAMBA LUMUMBA WANAWAZA NINI.
 
1. Kutekwa na kuteswa kwa ULIMBOKA, chadema walikuwa mstari wa mbele kuitaka serikali iunde tume huru ya kuchunguza tukio hili. Hii ni sifa, tabia na janja ya kikundi chochote cha kigaidi kwani hutekeleza ugaidi na kukukimbilia kujifanya kuwa kinatetea raia wanaonewa;

2. Kifo cha MWANGOSI, kikatokea wakati wa mkutano wa CHADEMA ambao haukuwa na kibali cha jeshi la POISI kule Iringa. Mara nyingi kikundi chochote cha kigaidi kikishapanga kutekeleza tukio lolote lazima kifanye hivyo bila kujali kina kibali au la;

3. Kijana Musa Tesha akamwagiwa TINDIKALI kule Tabora wakati CHADEMA na CCM wakihasimiana katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la IGUNGA. Ili kikundi cha kigaidi kianzishwe ni lazima kiwe kinahasimiana na kundi kubwa la watu. CHADEMA kama ambavyo kinajulkana ni chama ambacho ni watu watu wachache wanaotumia mwamvuli wa chama cha siasa/dini. MBOWE, LEMA, LWAKATARE, wawanawajua wenzao;

4. wakati LWAKATARE anatoka RUMANDE kwa dhamana akayatamka haya maneno nanukuu "NILIKAMATWA SIKU SITA BAADA YA KIBANDA KUTESWA NA NIMEACHIWA SIKU SITA BAADA YA KIBANDA KUTOKA AFRIKA KUSINI ALIKOKUWA AKITIBIWA" binafsi niliangalia video ya BUKOBA BOYS, katika video hiyo hakuna sehemu abayo LWAKATARE alimtaja KIBANDA, bali aliyekuwa akimzungumzia ni DENNIS MSACKY, hivyo nilitegemea LWAKATARE angezungumzia kuhusishwa kwake na njama za kutaka kumdhuru DENNIS MSACKY na siyo ABSALOM KIBANDA. Sifa nyingine ya gaidi, hapendi kutamka wazi analenga nani hasa na hutumia matukio megine kutaka kujitakasa.

5. Tukio la mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA kule arusha kulifuatiwa na mambo yafuatayo: kwanza, CHADEMA kufanya mkutano wa hadhara kesho yake kabla marehemu wa mlipuko huo hawajazikwa tena bila kibali cha POLISI, kitendo ambacho kiliiudhi sana SERIKALI na kupitia kwa WAZIRI MKUU ikatoa tamko kali bungeni, tamko ambalo lilitafsiriwa vibaya kuwa Waziri mkuu ameruhusu POLISI kupiga watu tafsiri ambayo Mbunge mmoja kwa sababu aidha ya tabia yake ya ukijiwe kijiwe unaotokana na elimu yake ndogo au kwa sababu ya kutaka kuendeleza fani yake ya usanii akataka kuwachekesha watanzania kwa kumtukana WAZIRI MKUU. pili, MBOWE akatangaza kwa haraka sana kuwa kuna ushahidi wa video unaoonesha kuwa POLISI walihusika; tatu, vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ikaeneza maneno kuwa CHADEMA kilifunga CAMERA za CCTV kwenye mkutano huo(swali kwa nini kwenye mkutano huo ndiyokuwe na CCTV cameras?). Hizo ndizo janja za kigaidi.

6.CHADEMA wametangaza kuwa tayari wana makambi ya jeshi katika mikoa yote Tanzania. Nina uhakika serikali ilikuwa halijui hili. Hii ndiyo sifa kubwa ya kikundi chochote ambacho kina malengo ya kuwa cha kigaidi kwa baadaye, huanza kama kikundi cha kisiasa/kidini na kikshaona kimeota mizizi hubadilika kuwa cha kigaidi. Kitendo cha CHADEMA kuwa na kambi za kijeshi mikoa yote Tanzania bara tena kwa kificho ni ugaidi.

7. Hivi karibuni CHADEMA wametangaza kuwa CCM wameingiza sare zinazofanana na za CHADEMA ili kuzivaa na kutekeleza matukio ya ugaidi na ionekane kuwa ni wao. Teh teh teh, hapa kidogo nicheke na kwani kuna kitu nimeng'amua. Inawezekana kabisa askari wanaodaiwa kuwa alimuua MWANGOSI, gari linalodaiwa kuwa ni la POLISI na kwamba ndilo lililiotumika kumtorosha aliyelipua bomu arusha vyote hivi ni mipango ya CHADEMA.

CHADEMA wamekuwa wakitumia matukio kama haya na hasa yale ambayo yamepangiliwa kigaidi kutoa lawala kwa vyombo vya ulinzi kuwa vinahusika, kumlaumu rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa haendi kutoa rambirambi, kulaumu uongozi wa bunge kuwa haukuahirisha bunge na kwenda huko. Mambo yote haya yakiwa na lengo la kutaka kuuaminisha na hata kuwajenga hofu wanannchi kuwa serikali haiwajali. Ndugu zangu hii ni sifa , tabia na janja za vikundi vya kigaidi.

Mytake. 1. Serikali isiishie kulaani CHADEMA kuanzisha kambi za kijeshi, kuna haja ya kwenda mbali zaidi kujua nani mfadhili mkubwa wa mchakato huu wa CHADEMA na kama anatoka ndani ama nje ya nchi na ikibidi hatua za haraka zichukuiwe ikiwa ni pamoja na kulalamikia wafadhili hawa kwenye jumuiya za kimataifa na hasa ikigundulika kuwa wanatoka nje nchi.

2. Serikali iwe makini sana madai ya SARE, MAGARI na MALI zingine zinazodaiwa na CHADEMA kuwa zinatumiwa na ama CCM au serikali kutekeleza vikundi vya kigaidi. Inawezekana kama kabisa CHADEMA wana mali kama hizo, Serikali itumie watanzania wenye uzalendo na nchi yao kutoa taarifa za uwepo na njama kama hizo na ikiwezekana zawadi nono zitolewe kwa watu wa aina hiyo watakaosaidia kuwaumbua maadui wa taifa letu

Akili yako na ya thatha zimeumbwa kama makalio ya baboon!
 
Mkuu Jichola3 ikiwezekana uongezewe jicho la nne ili umulike zaidi. Ulichokiandika ni sahihi.
 
kuna akili zingine ni za shake well before use. otherwise watakuja na upotoshaji wa kitoto

Ahsante kwa ufafanuzi mkuu
 
Mimi sio mwanachama wa CDM. Kutokana na utaalam wangu wa masuala ya kiusalama, na baada ya kusoma ulichoandika na kisha kuingia ndani ya akili yako nimegundua kua hapa unaisema CCM bila hata ya wewe mwenyewe kujua. Kama ingekua ni mahakamani kutokana na uandishi wako ambao unadhani unamshutumu mtu mwingine kumbe dots zote zinaangukia kwako.

Ukiangalia kipengele hadi kipengele katika hili chapisho lako,
1, waliomteka ulimboka wanajulikana mpka majina yao na wametumwa na nani nahilo hata wewe unalijua ila tunajua hapa unatafuta chakula ya watoto.

2. Kifo cha mwangosi haiihitaji kuelezea zaidi kwa kuwa kila kitu ni dhahiri. Inajulikana ni amri ya nani na wewe pia unajua ila! ! ! Chakulaa.

3. Tindikali igunga hilo nalo hujui. Ata yule mlemavu wa uso mwenyewe anajua nani alimmwagia tindikali lakini kwa masilahi ya njaa anakaa kimya. Je yule kijana wa ccm aliyeto ushuhuda kuusika kwa kundi la ujasusi la ccm nae usha msikia?

Vioi naona rwakatare unamsema sana, na yule shushushu wenu mlie mtelekeza maha
busi mbona amuongei kuhusu yeye.

Alafu hilo la arusha, nenda basi kawaambie wananchi wa arusha usikie mziki wake.
NJAAAAAAA MBAYAA.
 
CHADEMA kila siku inaendelea kujiimarisha kwenye swala la ugaidi.

Ni matumaini yangu vyombo/mamlaka husika zitaishughulikia CHADEMA haraka kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
makalio.........
 
Back
Top Bottom