Vile vijamaa ambavyo unakuta familia nzima mmesoma vizuri na mkapata hela ila vyenyewe shule vimekimbia na bado havina ajira wala hela ila full ujuaji na kufuatana majumbani kuombana hela kwa jina la sister na brother wangu au shemejiNi akina nani hao black sheep
Akifeli kimaisha anakuwa "black sheep", akifaulu anakuwa "golden goose" wa kupigwa mizinga na kila mtuVile vijamaa ambavyo unakuta familia nzima mmesoma vizuri na mkapata hela ila vyenyewe shule vimekimbia na bado havina ajira wala hela ila full ujuaji na kufuatana majumbani kuombana hela kwa jina la sister na brother wangu au shemeji
Mmmh ya kweli hayaVile vijamaa ambavyo unakuta familia nzima mmesoma vizuri na mkapata hela ila vyenyewe shule vimekimbia na bado havina ajira wala hela ila full ujuaji na kufuatana majumbani kuombana hela kwa jina la sister na brother wangu au shemeji
Hakika na black sheep kwetu ni mimi japokuwa kwa hapa nitawaponda sana mablack sheep ila mimi ni mwenzao kabisaAkifeli kimaisha anakuwa "black sheep", akifaulu anakuwa "golden goose" wa kupigwa mizinga na kila mtu
Dada na elimu yangu kubwa nikudanganye nigundue nini ndugu ?Mmmh ya kweli haya
Hapana. Umekosea. Muda mwingine blacksheep hua anatengwa tu, kwa kosa ambalo halina maana, sifa uza blacksheep umezitoa vizuri sana. Lakini haya maelezo umejamba kwenye maji mkuu. Sio blacksheep wote omba omba, na sio kila omba omba ni bkacksheep.Vile vijamaa ambavyo unakuta familia nzima mmesoma vizuri na mkapata hela ila vyenyewe shule vimekimbia na bado havina ajira wala hela ila full ujuaji na kufuatana majumbani kuombana hela kwa jina la sister na brother wangu au shemeji
Tafadhali nakuheshimu sana jamaa yangu na nitapenda tuendelee kuwa marafiki ila mpaka pale utakapokubali kuedit neno kujamba katika maelezo yako ili unikosoe kwa staha mimi kama mtu mzima ,mwenye elimu kubwa na kazi nzuri ila blacksheep wa familia yetu .Hapana. Umekosea. Muda mwingine blacksheep hua anatengwa tu, kwa kosa ambalo halina maana, sifa uza blacksheep umezitoa vizuri sana. Lakini haya maelezo umejamba kwenye maji mkuu. Sio blacksheep wote omba omba, na sio kila omba omba ni bkacksheep.
Hahhahhaha nisamehe 🙏Dada na elimu yangu kubwa nikudanganye nigundue nini ndugu ?
Natamani uedit comment yako maana umenishushia heshima kwa kutomuamini mtu mzima kama mimi ,nimejisikia vibaya mno
Black sheep sio lazima awe ba sifa hizo.Vile vijamaa ambavyo unakuta familia nzima mmesoma vizuri na mkapata hela ila vyenyewe shule vimekimbia na bado havina ajira wala hela ila full ujuaji na kufuatana majumbani kuombana hela kwa jina la sister na brother wangu au shemeji
Msamaha umekubaliwa ,sasa wewe ni rafiki yangu kuanzia sasa .Hahhahhaha nisamehe 🙏
Dahhh!!!! Nimecheka sana. sasa mtu mzima, mwenye elimu kubwa na kazi nzuri. Mbona hilo neno umelirudia mara mbili mkuu?? Hiyo ni ishara kwamba halina tatizo lolote, its a figure of speech.Tafadhali nakuheshimu sana jamaa yangu na nitapenda tuendelee kuwa marafiki ila mpaka pale utakapokubali kuedit neno kujamba katika maelezo yako ili unikosoe kwa staha mimi kama mtu mzima ,mwenye elimu kubwa na kazi nzuri ila blacksheep wa familia yetu .
Natamani tuendelee kuwa marafiki hivyo sitegemei kama utakataaa kuedit hilo neno "KUJAMBA " katika maelezo yako mazuri .
Ahsante
Sijamaanisha hivyoAkifeli kimaisha anakuwa "black sheep", akifaulu anakuwa "golden goose" wa kupigwa mizinga na kila mtu
Kujamba kwenye maji tena 😂Hapana. Umekosea. Muda mwingine blacksheep hua anatengwa tu, kwa kosa ambalo halina maana, sifa uza blacksheep umezitoa vizuri sana. Lakini haya maelezo umejamba kwenye maji mkuu. Sio blacksheep wote omba omba, na sio kila omba omba ni bkacksheep.
🤣🤣🤣Akifeli kimaisha anakuwa "black sheep", akifaulu anakuwa "golden goose" wa kupigwa mizinga na kila mtu
Mimi ni number 1Hakika na black sheep kwetu ni mimi japokuwa kwa hapa nitawaponda sana mablack sheep ila mimi ni mwenzao kabisa
Naam here I am still remains stronger 💪💪😁Black sheep sio lazima awe ba sifa hizo.
Black sheep ni mtu aliyechagua njia zake tofauti na kile kilichowekwa kama “ukawaida “