Sifa za jiji

Sifa za jiji

Ili iweje sasa? yani Nyuzi kama 4 zinaanzishwa kwa vitu vya kipuuzi puuzi tu..
 

Attachments

  • town planning act.jpg
    town planning act.jpg
    49.4 KB · Views: 87
Rais akitaka iwe hivyo inakuwa.
Kwa mfano, wakati wowote Chato itakuwa jiji, kama unabisha basi subiri utakuja kuniambia.
 
Kuwe na mataa mengi barabarani kisha punda wavuke
 
DODOMA KUWA JIJI ITAADHIRI VIPI SHUGHULI ZA KIMAENDELEO KWA WANANCHI? HILI LIPO KISIASA SAANA TUSIUMIZE VICHWA. KUNA MENGI YA KUJADILI.
 
Back
Top Bottom