Sifa za kuingia Dar

Sifa za kuingia Dar

kengeledoi

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
325
Reaction score
230
Hivi wakuu ndo tuseme tukitaka kuja dar inabidi tutume kwanza maombi au tunakuja tu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Yani jamaa utasema anashindana na kina gigy money, idris, na wema sepetu kwa kutafuta Kiki

Yani hii ya leo kali
Sijui wiki ijayo atakuja na mpya gani
 
Yani jamaa utasema anashindana na kina gigy money, idris, na wema sepetu kwa kutafuta Kiki

Yani hii ya leo kali
Sijui wiki ijayo atakuja na mpya gani
umeona mkuu sa hivi anatakiwa afanye kazi aache kutafuta kiki za msimu yaani hakuna idea anayokuja nayo yenye manufaa kwa watu wa dsm naona wamachinga walimsemea kwa boss wake, tunahitaji kuona mabadiliko dar kama usafi na miundo mbinu mizuri mambo ya kiki za msimu waachie wasanii.
 
Back
Top Bottom