Sifa za Mashangazi Original

Kapicha ka sambwanda tafadhali, Lamomy mwambie Harrier itamuumiza sambwanda, kuna V8 hapa halina kazi, kwa mwenyewe sambwanda tu.
🀣🀣🀣🀣 Wizo ana zigo la kuvunja chaga oohoo!!
V8 unataka kumbless?! πŸ˜€πŸ˜€
Wizo haya ushinwe ww huu ndo mwaka wa kufosi sasa lkn ww maisha yamejifosi yenyewe yanakuletea v8 BICHWA KOMWE -
 
Saivi soko lipo kwa mabinti wa 2002-2005, kwake tunaenda tu kwa sababu ana pesa 🀣sasa tutafanyaje Hela hamna
Halafu bado anafunga PM. Yani hawa mashangazi wanashangaza sana, anakesha kwa mwamposa kuchukua mafuta ya upako ili aolewe, halafu PM kafunga, namba hatoi sasa huyo muoaji a takuwa malaikaπŸ˜ƒ
 
Saivi soko lipo kwa mabinti wa 2002-2005, kwake tunaenda tu kwa sababu ana pesa 🀣sasa tutafanyaje Hela hamna
🀣🀣🀣🀣 Mimi kikosi cha mizinga shauri yako, ww jichanganye km hujaleta uzi wa malalamiko na mu heading mkubwa β€œLAMOMY KANITAPELI KUWENI MAKINI NAYE” 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…