Sifa za Mshangazi

Sifa za Mshangazi

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Baada ya Mishangazi kushika kasi sio vibaya tukajua sifa kuu za mshangazi.

1. Awe single.

2. Awe kaachika au mjane.

3. Awe mweupee.

4. Awe na pesa.

5. Awe mnene.

Baada ya hayo, niwatakie kila la heri mishangazi yote.
 
Back
Top Bottom