Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
Defense mechanism anajua kabisa yeye yupo NBC league alafu kuna watoto wakali chuchu sharp level za EPL tatzo n maokoto sasa anajua ukimpata wa EPL na maokoto unamwachia moshi tatu.Ukiwa nalo, utasikia sipendi dharau.... Hivi huwa yanamanisha nini