Sifa za Mutsubishi Pajero Exceed ni zipi?

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
262
Jamani kidogo kidogo nimeanza kuona magari ya Mitsubishi Pajero 3.0L petrol.
Hivi haya magari yakoje in term of
1.Ulaji wa mafuta
2.Upatikanaji wa Spare
3.Uhimilivuwa rough roads
4.Engine ya Petrol 6G72 utat wake ni upi?

Asanteni

BK707609_1e458f.jpg

BK707609_c05b30.jpg

BK707609_be309a.jpg
 
Natamani niufunge uzi wako acha watu wakupe muongozo kwanza ili nilishusha nondo nashusha kweli kweli kuhusu hii gari haswa ya dizel ndio the best zaidi na bei ipo juu compare to petrol

sent from HUAWEI
Hata mimi natamani ushushe nondo zake ya diesel na Petrol mkuu
 
JE UNAIFAHAMU MITSUBISHI PAJERO NA GRADE ZAKE???

Kadri siku zinavyoenda mjapani anazisisha maujuzi ,ubunifu kufanya bidhaa zake kukubarika zadi sehemu mbali mbali ,pajero imekuweko kwa muda mrefu kwa Toleo la mwaka 2015 imepata muonekano mpya wa kibabe sana ,kwa mbali unaweza kudhani Range lover
Mitsubishi Pajero uzalishaji wake ulianza mwaka 1982 thadi leo first generation production ilianza mwaka 1982 hadi 1991, second generation ilianza mwaka 1991 hadi 1999, third generation ilianza 1999 Hadi 2006 fourth generation ilianza mwaka 2006 hadi leo ila kumekuwa na mabadiliko ya face lift na kufanya gari hii kuwa mpinzani mkubwa wa prado

UPANDE WA ENGINE
2015 Mitsubishi Pajero inakuja na machaguo ambayo ni 3 engine options,
3.0 Litre 6 cylinder SOHC petrol engine,
3.2 Litre 4 cylinder DOHC Turbo-diesel engine and
3.8 Litre 6 cylinder SOHC MIVEC petrol engine.
These are linked to either a 5-Speed automatic transmission or a 5-Speed manual transmission, all with full range 4WD

Hapa inategemea na choice yako km unapenda mizunguko ya town go for petrol engine ,wale wazee wa masafa ya mara kwa mara ni vyema ukachagua dizel engine

UPANDE WA Mitsubishi Pajero Grades
Ni muhimu kufahamu kuwa gari hili unaweza kulipata katika maumbo yafatayo short-wheelbase(a.k.a kipisi Short) na long-wheelbase versions(denoted by Long).

Tuanze kwa kuangaliq grade za gari hii

Mitsubishi Pajero Short VR-I –
Katika grade hii inakuja na 5-seater, milango 3 door version upande wa engine inakuja na 3.0 Litre petrol engine, ikiwa inapatikana kwa automatic na manual transmission, 16-Inch alloy rims, keyless entry + key start and cloth seats

Mitsubishi Pajero Short VR-II inakuja na 5-seater, 3 door version pia inakuwa na 3.2 Litre turbo diesel engine, available only in an automatic transmission, 18-Inch alloy rims, keyless entry + key start, optional leather seats and cruise control

Mitsubishi Pajero 3.0 Long GR – Hii inafaa sana kwa matumizi ya familia inakuwa na 7-seater, 5 door version upande wa engine ni 3.0 Litre petrol , available in both automatic and manual transmission, 16-Inch alloy rims, keyless entry + key start and cloth seats

Mitsubishi Pajero 3.2 Long GR – hii inakuwa na 7-seater, 5 door version Engine ya kibabe kabisa 3.2 Litre turbo diesel engine, available only in an automatic transmission, 17-Inch alloy rims, keyless entry + key start, optional leather seats and cruise control

Mitsubishi Pajero 3.0 Long Exceed – hii pia inakuwa ma 7-seater, 5 door version upande wa engine ni 3.0 Litre petrol , inakuwa na chaguo moja tu la automatic transmission, 17-Inch alloy rims, keyless entry + key start, optional leather seats, cruise control and AC power supply.

Mitsubishi Pajero 3.2 Long Exceed – Toleo hili ni 7-seater, 5 door version that comes engine inakuwa na 3.2 Litre turbo diesel engine, available only in an automatic transmission, 17-Inch alloy rims, keyless entry + key start, optional leather seats, cruise control, sunroof and AC power supply. Usipime kwa moto wake

Kitu gani kizuri kipo katika gari hii
Inakuja na AC power socket ambayo unaweza kutumia kuchomeka laptop , na vifaa vingine vya umeme ukafanya kazi km laptops, car fridges, phones, TVs and much more. For example, we were able to quickly charge our camera equipment on the road without having to rely on our backup batteries.

Other Extras: Sunroof, AC Power Output, Navigation system.

Safety Features: SRS Airbags, Curtain airbags, Active Stability Control(ASC), ASTC (Active Stability and Traction Control) Parking Assist, 3 Point ELR seatbelt

2015 Mitsubishi Pajero Fuel Consumption

2015 Mitsubishi Pajero 3.0L petrol fuel consumption ni km : 9.0 kwa lita 1
2015 Mitsubishi Pajero 3.2L diesel fuel consumption: km 10.2 kwa lita 1
2015 Mitsubishi Pajero 3.8L petrol fuel consumption km: 8.2 kwa lita 1

2015 Mitsubishi Pajero Fuel Tank Capacity: 70 Litres

2015 Mitsubishi Pajero Ground Clearance:
8.5 Inches Ipo juu kinyama sana popote unaenda ,bila shida haihitaji any manuva kwa miundo mbinu ya nchi yetu gari inatakiwa angalau ianzie inch 6.5 kwa hii gari imevuka national standard haichagui njia

2015 Mitsubishi Pajero Stability and Handling

Hapa acha nitereze kidogo mwenye sikio na aelewe
From the outside, the Pajero looks like a big lumbering 4×4 but step behind the wheel of the 3.2L diesel and you’ll realize how nimble it is. The gear shifts are fluid and the 5-speed INVECS II automatic transmission delivers power with precision. The 3.0L petrol labors harder to propel the big 4×4 and there’s an audible whine especially when climbing a steep hill. The 3.8L petrol, on the other hand, ukiwa na chuma hii kwenye milima iko faster hivyo kukufanya usiwe na malalamiko yoyote 💪

Mitsubishi Pajero Competitors: Toyota Prado, Land Rover Discovery, Ford Everest and Nissan Pathfinder.

KiNachonifanya nipende hii gari

✔️Spacious cabin
✔️Low maintenance
✔️Sporty design
✔️Reliable
✔️Good ground

✂️Nisichopenda ni Engine ya petrol 3.0 inachelewa sana kuchanganya acceleretion ipo chini

HITIMISHO ,
kama unawaza kuchukua au kunua gari bac jaribu sana kuiwazia hii chuma ni gari ambayo inakupa viovyo ambavyo ni adimu sana upande wa power ,fuel consuption , luxury ,coftable ...lkn pia hata run coast na mentanance iko chini ukilinganisha na washindani wake

BEI KWA MPYA PITIA TOVUTI MBALI MBALI ULINGANISHE BEI ✔️
 
Waouh...asante sana, japo 2015 kibongo bongo kuinunua ni shughuli kidogo
 
Asante sana
 
Uchambuzi mzuri sana Mkuu.Ila nilichogundua ya diesel bado ulaji wake sio mzuri kivileee,tofauti ya ke na ya petrol ni ndogo mnoo
 
Hapa sina cha kuongezea hata kidogo...
Uchambuzi muruwaaaaa
 
Utofauti wake ni mdogo kivipi mkuu?
2015 Mitsubishi Pajero 3.0L petrol fuel consumption ni km : 9.0 kwa lita 1
2015 Mitsubishi Pajero 3.2L diesel fuel consumption: km 10.2 kwa lita 1

10.2-9=1.2
Upo??
 
Offshore Seamen naomba uje hapa pia mzee
Mafuta Inatumia wastani wa km 9 mpaka 8 Kwa Lita, Mafundi na spea zinapatikana hiyo Injini ipo tangu kwenye Pajero Second Generation na Canter za Petrol.

Kwenye njia mbovu inahimili vizuri, na ni imara. Umakini ni kwenye mafuta anayotumia yasiwe ya kununua kwenye madumu Ili asijekuharibu nozzle na pump.
 
Inaonekana ni gari zuri ila ni wasiwasi na woga wa tu kuwa nayo tu
 
Mafuta Inatumia wastani wa km 9 mpaka 8 Kwa Lita, Mafundi na spea zinapatikana hiyo Injini ipo tangu kwenye Pajero Second Generation na Canter za Petrol.

Kwenye njia mbovu inahimili vizuri, na ni imara. Umakini ni kwenye mafuta anayotumia yasiwe ya kununua kwenye madumu Ili asijekuharibu nozzle na pump.
Ahsante Offshore Seamen Nadhani mleta mada atakua ameelimika.
 
Back
Top Bottom