Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Hio Pajero kwenye injini inashare spare na baadhi ya Canter za Tani 2 za Petrol. Mafundi wa Mitsubishi wapo kila pande hata huko vijijini Sio gari ngeni Kwa watanzaniaInaonekana ni gari zuri ila ni wasiwasi na woga wa tu kuwa nayo tu