Hio Pajero kwenye injini inashare spare na baadhi ya Canter za Tani 2 za Petrol. Mafundi wa Mitsubishi wapo kila pande hata huko vijijini Sio gari ngeni Kwa watanzania
Nimepata shule nzuri sana, natamani kumiliki hiki kitu in future.
But naona production ya Mitsubishu Pajero imesitisha toka mwaka jana 2021 baada ya kudumu kwa miaka zaidi ya 40.
Je Spare parts zenyewe zinaweza endelea kupatikana?