Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
SIFA ZA MWANAMKE AFAAYE KUITWA MAMA.
1: Mwaminifu katika kila jambo.
2: Sio mbishi kwa mumewe na watu wengine.
3: Hadekezi watoto.
4: Ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kiujumla.
5: Ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia.
6: Ni mvumilivu.
7: Ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema.
8: Ni msafi wa mwili,nyumba na mavazi.
9: Mcha mungu ila asiyejiona yeye yuko perfect.
10: Anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbalimbali.
11: Ni mleta mahusiano mema ktk familia zote.
12: Sio mchonganishi wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe.
13: Hana dharau,kiburi,hasira na unafiki.
14: Asiwe mgomvi, mtafuta makosa na asiwe anaishi na mume kwa Kusikiliza maneno ya marafiki, au kufanyia kazi maneno ya kuambiwa.
Hamjambo ndimi Mimi Kijani wenu Emmanuel Kasomi tupate break kidogo