Sifa za mwanamke afaaye kuitwa mama

Labda umzae wa kwako
 
Kama mwanamke asiekuwepo na sifa tajwa hapo juu akashika mimba na kujifungua mtoto,yule mtoto hatafaa kumwita huyu mwanamke mama,,?
 
Sifa za mwanaume astahikie kuitwa baba nazo ni zipi?
 
MBONA ZOTE MKE WANGU ANAZO,
NA TENA ZAIDI YA HIZOOO
 
kiasi kwa makucha yale mitaa ya kwa bibi kule sijui wanafanyaje usafi. au saluni za siku hizi wanatoa huduma ya kusafisha?
 
Kama mwanamke asiekuwepo na sifa tajwa hapo juu akashika mimba na kujifungua mtoto,yule mtoto hatafaa kumwita huyu mwanamke mama,,?
Ikitokea imetokea.
Mtoto hana makosa, ndio maana hata makahaba huzaa watoto welevu
 
Huyo wakuchonga labda! Hawa walizaliwa na binadamu ni ngumu sana mwenye kumpata mwenye izo sifa zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…