Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia

Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia

1. Chuchu size inayoonekana
2.Tako size inayoonekana

Nimemaliza hapo ndio mwisho. Hivyo ndivyo vinafanya hata nguo zimpendeze.

Bahati mbaya umeshindwa kutofautisha kati ya kuvutia na kutamanisha
 
That's funny! Sababu (kama kumbukumbu yangu iko vizuri) mwanamke wa kwanza kabisa kuvutiwa nae alinivutia baada ya kujibu swali fulani darasani ( Jibu alilojibu lake nalikumbuka paka leo).. Labda mimi sio sehemu ya hiyo jamii unayoiongelea.[emoji28][emoji28]
 
Uko sahihi kila mtu kuna kitu tofauti anachovutiwa na mwanamke,
 
Mwanamke wangu ni mzuri ajabu na hana ivo vitu vyote ila ananikumbusha sanaa swala tano na sura yake huchoki kumtazama
 
Mwanamke wangu ni mzuri ajabu na hana ivo vitu vyote ila ananikumbusha sanaa swala tano na sura yake huchoki kumtazama
kama chuchu hazijachongoka hana tako huyo ni sawa na mvulana mkuu. Hata akivaa blauzi chuchu hazionekani.
 
Back
Top Bottom