Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
ushauri wangu kwa judith wambura ni amwombe MUNGU ampe mume mwema,aliye HOKOKA lakini tofauti na hapo ataliatu.
....asiechepuka hovyo
kwa hii statement maana yake anataka mume ambaye anachepuka lakini kwa kiasi
...anayeweza ku take care of me financially.....asiwe tegemezi....hata kama sio tajiri asinitegemee......nikikohoa tu awepo....
Sijawahi kuona kitu ya namna hii, kwa hio dada yangu anahitaji mtu wa kum-service basi!
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?
JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..
Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?
Mbona unakata tamaa bro. . . .
ushauri wangu kwa judith wambura ni amwombe MUNGU ampe mume mwema,aliye HOKOKA lakini tofauti na hapo ataliatu.
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?
JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..
Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?
Sijakata tamaa mkuu, ila namhurumia sana huyu Bi dada
Kwa maana hiyo Gadner alikuwa ndio mwenye tabia hizo za juu.