Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?

JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..

Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?

[/QUOTE

Nani aliyemkamilifu?
 
Labda apate malaika,ila kwa mwanaume anaejitambua hawezi,'eti nikikohoa awepo'kama ni mtafutaji atatafuta saa ngapi?wadada wakipata hela hujisahau sana na kujifanya vidumejike.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Angalia a.k.a.zake zooote utapata tabia yake halisi halafu utaamua kumuonea huruma au la. . . . . .

Binti machozi,
Komandoo
Jide,
etc...
Hio ya kwanza ndio inamfanya huruma iwepo! Pamoja na ukomandoo wake huduma ni lazima mkuu. Hayo mengine anajifaragua tu! Ila usiku ama wakati wowote anahitaji huduma ....."nikikohoa tu awepo hapo"
 
Labda apate malaika,ila kwa mwanaume anaejitambua hawezi,'eti nikikohoa awepo'kama ni mtafutaji atatafuta saa ngapi?wadada wakipata hela hujisahau sana na kujifanya vidumejike.

Eti asimtegemee hata kama sio tajiri..., ila anamtaka mtu atakayeweza kum take care financially - anajifaragua sana na amevurugwa vibaya sana.
 
Aunt yangu alibarikiwa sana fedha, alikuwa mbabe sana ktk familia.

Hakua na mpango na ndoa na kuheshimu aliyezaa nae. Hawakudumu.

She is lonely in her 40s with 3 kids. Anaumwa magonjwa yote ya msongo wa mawazo.
 
Anamtukana G. matusi matusi makubwa sana..
Ivi hajui wanaume we are one. Ni mwanaume gani atampata ilhali anatudhalilishia mwenzetu.
Jay dee u r done. Nunua tu midoli ya kutosha

Walikutana bhana wote walikuwa much know sasa wako sober house huyu mwanaume mwenzetu was he a man to stand out of crowd??!!!
They are all in bad shapes. . . . .
 
Eti asimtegemee hata kama sio tajiri..., ila anamtaka mtu atakayeweza kum take care financially - anajifaragua sana na amevurugwa vibaya sana.

Huyu dadangu kavurugwa hasa,anatakiwa arudi musoma tumpe mume ili akili irudi.
 
Eti asimtegemee hata kama sio tajiri..., ila anamtaka mtu atakayeweza kum take care financially - anajifaragua sana na amevurugwa vibaya sana.

anaelekea kwenye ugonjwa mbaya sana..,

'AFFECTION/LOVE TRAUMATIC DISORDER'

hakuna mtu anapona. Kimbilio lao wengi hujiingiza kwenye vileo mpaka mwisho... Wengne huwa vichaa.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Binti machozi,
Komandoo
Jide,
etc...
Hio ya kwanza ndio inamfanya huruma iwepo! Pamoja na ukomandoo wake huduma ni lazima mkuu. Hayo mengine anajifaragua tu! Ila usiku ama wakati wowote anahitaji huduma ....."nikikohoa tu awepo hapo"

Too much of confy. . . . .na kuamini zaid juu ya vitu kuliko social capital . . . . .Visupastaa vya bongo bhana maisha akili hakuna, busara nehi, wakizidiwa wanatapika mitandaoni!!!
Kama anataka akikohoa tu asikike akakae ICU , . . . .

Waanzishiwe mtaala wa maisha veta
 
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?

JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..

Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?

she fights with everyone, never satisfied, not that attractive and ego kubwa

labda aanze kujitosheleza mwenyewe tu sasa
 
Ha ha ha A.k.a komandoo...

Jungle warrior. . . . . .I like her voice na compositions, talent in her superb. . . . .ila sasa uanamke wake unaonekana kwenye diary show. . . . .wapambe hawawezi kumshauri boss hata siku moja ila humpa yale apendayo kuyasikia. . . . . .aangalie hapo!!!!
 
Walikutana bhana wote walikuwa much know sasa wako sober house huyu mwanaume mwenzetu was he a man to stand out of crowd??!!!
They are all in bad shapes. . . . .

Ni rahisi kwa G kurecover na ku heal kuliko jay d.

Kumbuka G ana mtoto, ni faraja tosha. He has a reason to life.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Mara nyingi wanadamu hutamani vitu vingi vizuri na vya kupendeza maisha lakini kibaya zaidi wengi wao hawajiweki katika mazingira ambayo yatawawezesha kutimiza matakwa ya nafsi zao...na hivyo kuishi maisha ya ndoto ingali macho yao yanatazama....ni kama mfano wa changudoa mwenye ndoto za kupata mume mwema na mcha mungu hali ya kuwa mazingira yanawatenga mbali kwani mcha MUNGU muda mwingi anapatikana sehemu za ibada akidumisha ukaribu na mola wake huku yeye muda mwingi akiwa barabarani akiunadi mwili wake hivyo kupelekea changudoa kuishi maisha ya ndoto huku mazingira yakimuweka mbali kutimuza ndoto hiyo mpaka pale atakapo badilika...ni kama mfano wa mwanaume anayeumiza kichwa jinsi ya kumpata mke mtulivu huku yeye akiwa ni kinara wa kuwafunua wadada kila uchao na kila gest anaifahamu na mpaka wamemzoea....ninachojaribu kueleza na kwamba kabla hatujatamani kupata vitu vyenye kuleta raha nafsini mwetu na kutimiza matakwa ya nafsi zetu kwanza sisi wenyewe tunatakiwa tuviandalie mazingira ya kuvivuta hivyo vitu kwenye maisha yetu....kama unatafuta mume mwema jiweke katika mazingira ya kumvutia mume mwema huku wewe ukiwa na sifa ya mke mwema...kama unatafuta mke mwema andaa mazingira ya kumvuta mke mwema huku wewe ukiwa na sifa, haiba na muonekano wa mume mwema.....siku zote watu tunao interact nao maishani mwetu ni wale ambao tumewaandalia mazingira ya kuingia katika maisha yetu kwa namna moja au nyingine...watu huwa hawatuzoei tu hivi hivi bali kuna vitu au mazingira ambavyo huwa vinawavuta kwetu ...kama wewe ni kibaka huwezi kupata marafiki wema kwani mazingira yako ya kimaisha yanakuwa yameshakutenga na watu wema...kama wewe ni mama huruma wanaume utakaokutana nao ni sampuli hio hio...kwa kuwa mazingira yako yakinzana na wanaume wastaarabu....

That's true my dia
 
Too much of confy. . . . .na kuamini zaid juu ya vitu kuliko social capital . . . . .Visupastaa vya bongo bhana maisha akili hakuna, busara nehi, wakizidiwa wanatapika mitandaoni!!!
Kama anataka akikohoa tu asikike akakae ICU , . . . .

Waanzishiwe mtaala wa maisha veta

Wanataka kuuza ila wakibaki wenyewe vyumbani machozi yanawatoka
 
Back
Top Bottom