Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Labda apate malaika,ila kwa mwanaume anaejitambua hawezi,'eti nikikohoa awepo'kama ni mtafutaji atatafuta saa ngapi?wadada wakipata hela hujisahau sana na kujifanya vidumejike.
 
Reactions: 999
Angalia a.k.a.zake zooote utapata tabia yake halisi halafu utaamua kumuonea huruma au la. . . . . .

Binti machozi,
Komandoo
Jide,
etc...
Hio ya kwanza ndio inamfanya huruma iwepo! Pamoja na ukomandoo wake huduma ni lazima mkuu. Hayo mengine anajifaragua tu! Ila usiku ama wakati wowote anahitaji huduma ....."nikikohoa tu awepo hapo"
 
Labda apate malaika,ila kwa mwanaume anaejitambua hawezi,'eti nikikohoa awepo'kama ni mtafutaji atatafuta saa ngapi?wadada wakipata hela hujisahau sana na kujifanya vidumejike.

Eti asimtegemee hata kama sio tajiri..., ila anamtaka mtu atakayeweza kum take care financially - anajifaragua sana na amevurugwa vibaya sana.
 
Aunt yangu alibarikiwa sana fedha, alikuwa mbabe sana ktk familia.

Hakua na mpango na ndoa na kuheshimu aliyezaa nae. Hawakudumu.

She is lonely in her 40s with 3 kids. Anaumwa magonjwa yote ya msongo wa mawazo.
 
Anamtukana G. matusi matusi makubwa sana..
Ivi hajui wanaume we are one. Ni mwanaume gani atampata ilhali anatudhalilishia mwenzetu.
Jay dee u r done. Nunua tu midoli ya kutosha

Walikutana bhana wote walikuwa much know sasa wako sober house huyu mwanaume mwenzetu was he a man to stand out of crowd??!!!
They are all in bad shapes. . . . .
 
Eti asimtegemee hata kama sio tajiri..., ila anamtaka mtu atakayeweza kum take care financially - anajifaragua sana na amevurugwa vibaya sana.

Huyu dadangu kavurugwa hasa,anatakiwa arudi musoma tumpe mume ili akili irudi.
 
Eti asimtegemee hata kama sio tajiri..., ila anamtaka mtu atakayeweza kum take care financially - anajifaragua sana na amevurugwa vibaya sana.

anaelekea kwenye ugonjwa mbaya sana..,

'AFFECTION/LOVE TRAUMATIC DISORDER'

hakuna mtu anapona. Kimbilio lao wengi hujiingiza kwenye vileo mpaka mwisho... Wengne huwa vichaa.
 
Reactions: 999
Binti machozi,
Komandoo
Jide,
etc...
Hio ya kwanza ndio inamfanya huruma iwepo! Pamoja na ukomandoo wake huduma ni lazima mkuu. Hayo mengine anajifaragua tu! Ila usiku ama wakati wowote anahitaji huduma ....."nikikohoa tu awepo hapo"

Too much of confy. . . . .na kuamini zaid juu ya vitu kuliko social capital . . . . .Visupastaa vya bongo bhana maisha akili hakuna, busara nehi, wakizidiwa wanatapika mitandaoni!!!
Kama anataka akikohoa tu asikike akakae ICU , . . . .

Waanzishiwe mtaala wa maisha veta
 
she fights with everyone, never satisfied, not that attractive and ego kubwa

labda aanze kujitosheleza mwenyewe tu sasa
 
Ha ha ha A.k.a komandoo...

Jungle warrior. . . . . .I like her voice na compositions, talent in her superb. . . . .ila sasa uanamke wake unaonekana kwenye diary show. . . . .wapambe hawawezi kumshauri boss hata siku moja ila humpa yale apendayo kuyasikia. . . . . .aangalie hapo!!!!
 
Walikutana bhana wote walikuwa much know sasa wako sober house huyu mwanaume mwenzetu was he a man to stand out of crowd??!!!
They are all in bad shapes. . . . .

Ni rahisi kwa G kurecover na ku heal kuliko jay d.

Kumbuka G ana mtoto, ni faraja tosha. He has a reason to life.
 
Reactions: 999

That's true my dia
 
Wanataka kuuza ila wakibaki wenyewe vyumbani machozi yanawatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…