Kimetah JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 1,049 Reaction score 189 Jun 15, 2013 #1 Sifa za mtu anayefaa kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika. 132. Mtu atastahili kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika endapo atakuwa na sifa zifuatazo- (a) angalau awe na elimu ya Chuo Kikuu kinachotambulika kwa mujibu wa sheria za nchi; (b) awe na sifa za kumuwezesha kuchaguliwa kuwa Mbunge; (c) wakati wa kugombea, awe mwenye umri usiopungua miaka arobaini; na ‐ 54 ‐ (d) asiwe kiongozi au amewahi kuwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya kuomba kuchaguliwa kushika nafasi ya madaraka ya Spika au Naibu Spika.
Sifa za mtu anayefaa kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika. 132. Mtu atastahili kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika endapo atakuwa na sifa zifuatazo- (a) angalau awe na elimu ya Chuo Kikuu kinachotambulika kwa mujibu wa sheria za nchi; (b) awe na sifa za kumuwezesha kuchaguliwa kuwa Mbunge; (c) wakati wa kugombea, awe mwenye umri usiopungua miaka arobaini; na ‐ 54 ‐ (d) asiwe kiongozi au amewahi kuwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya kuomba kuchaguliwa kushika nafasi ya madaraka ya Spika au Naibu Spika.