BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Hiyo situation ni hatari unaweza tamani kuweka ringtone kwenye simu ujifanye unapigiwa ili utoe kitu fasta.Sijui ni mimi tu ndio inanitoke au la...
Tena ukute nyumba za kupanga kuna kina mama fulani hivi wadaku wanapenda kupikia karibu na choo kabisa[emoji849][emoji849]
Sasa mziki pale unaposhikwa na lile tumbo la gesi mzee, mana raha yake ni kupiga vitu kama Scania 113. Unaingia toi unajibana kchizi[emoji23][emoji23][emoji23]