balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hapana kusoma hakuna mwisho bossUmri umeenda sheikh
Tunataka vyeti, ujanja ujanja hatutaki tena.Degree ndio inaongea kwani? Manara is the best ever.
Siku Manara akiacha usemaji rasmi Utopolo wanaweza toa fungu la 10 kama shukrani kwa MuumbaTunataka vyeti, ujanja ujanja hatutaki tena.
Soka la Tanzania litakuwa more professional kwa kupunguza idadi ya walevi, na sina chochote personal na Manara, ni aheri hata Masau Bwire au Thobias Kifaru.Siku Manara akiacha usemaji rasmi Utopolo wanaweza toa fungu la 10 kama shukrani kwa Muumba
Safi kabisa fukuza kanjanja fc.Kuna kanuni mpya itaanza kutekelezwa huu msimu mpya wa VPL.
Ili kuleta weledi na kupata watu sahihi, kanuni inataka wakuu wa vitengo vya habari, maarufu kama wasemaji wa club, wawe angalau na elimu ya Chuo Kikuu - degree.
Mmeona wasio na sifa wameanza mdogo mdogo kuondoka kwa gia za kimjijimjini ikiwemo afya mgogoro.
Kwa hili, nawapongeza TFF.
Huyo ana tatizo linaitwa 'vurugu za maono'.Siku Manara akiacha usemaji rasmi Utopolo wanaweza toa fungu la 10 kama shukrani kwa Muumba
Wewe mwenye nayo hiyo degree unamshinda nini Manara ambaye hana??Manara vipi kwani? Anayo degree?