Sifa za walimu wapya 2014!


Umekaa ukafikiria na wewe uandike nini ndo unakuja na utumbo huu! wewe ni miongoni mwao? au wewe ni mwalimu wa mwaka gani? the way ulivoandika sidhani kama wewe ni mwalimu! let say ni kweli uliyoyaandika, wewe yanakuhusu nini? na unataka tufanye nini hapa? yaani katika kuchangia hii "the so called topic"yako tuchangiaje?

Ninini cha ajabu kwa mwalimu mpya kulalamika kwa ndugu zake kuhusu mahali alikopangiwa? na kwataarifa yako kuhusu hilo siyo walimu wa sasa tu! hata hao baba zako waliokufundisha kijijini kwenu walilalamika hivohivo! nani anapenda maisha katika mazingira magumu?

kwenda na vitu vichache ninini cha ajabu? ninini kipya? mahali ni mbali hauwezi kusafirisha mizigo yako yote! gharama za usafiri ni afadhali ununue vitu hukohuko kama vipo! na inategemeana kama tayari nyumba wameshapata!ulitaka wawe na vitu vingi mapema hivi unadhani hawana akili kama wewe? unafikiri kitoto sana mkuu .. no siyo mkuu.. unafikiria kitoto sana .......!

halafu acha umbea na uongo kwasababu kwa sasa walimu hao wapo kwao kwaajili ya kujiandaa kwenda rasmi walikopangiwa!
 

usiwaponde watumishi Wa serikali kwa maneno hayo. ungetegemea waanzie wapi kama sio moja. kama wewe wazazi wako walikupa kianzio cha maisha washukuru na unyamaze kimya............
 
Huyo bwana ana matatzo na kama ni ajira mpya then he/she is the hopeless teacher hakna mfanyakaz wa selkar hii anayepewa kila kt anaporipot na ujue hata hela ya kujikm nipale ambapo hukupewa hukupnyumba ya serkal
 
Omba usaidiwe wanaojua sheria ya kaz na mahusiano kazn na standing orders za gvnt,acha kulalamika kama umeshndwa kaz rd nymban
 
Omba usaidiwe wanaojua sheria ya kaz na mahusiano kazn na standing orders za gvnt,acha kulalamika kama umeshndwa kaz rd nymban

kinachotakiwa ni kulike page,kama kuna sfa yoyote imekugusa,siyo kunidis mimi tena! ishi
 

We bila shaka ni mtoto wa mama na hujayajua maisha. Mod hebu tuondoleeni huu upuuzi hapa.
 
Fasihi kazi zake ni k.v KUFURAHSHA,KUHUZUNISHA bila kusahau KUKASIRISHA(MGUSO WA MOYO),sasa wewe umeguswa na hatmae umekasirika! HA!HA!HA!HA!HA!HA! FASIHI BWANA........!
 
Acha Upumbavu,nasikitika Akili Yako Sio Timamu,hivi Unadiriki Kukashifu Walimu Waliokufundisha? Upelekwe Mrembe Ukatibiwe Huo Ubongo Mdogo Kama Wa Kuku
 
Fasihi kazi zake ni k.v KUFURAHSHA,KUHUZUNISHA bila kusahau KUKASIRISHA(MGUSO WA MOYO),sasa wewe umeguswa na hatmae umekasirika! HA!HA!HA!HA!HA!HA! FASIHI BWANA........!


uone aibu hata kurudi na kujibu walichokujibu watu humu! busara ni pamoja na kutambua kosa/ ujinga/ upumbavu ulioufanya na kuurectify! sasa ukiwa unakuja hapa majestically eti unajibu response ya watu unakuwa una justify ujinga wako! be wise!if you are Masculine then be a MAN!
 

Sio lazima kuichangia hii mada! Kwani kuna mahala nimeandka nahtaji maoni yako?Acha ungese mi sikumwandkia mwalimu aone sifa zake! Bali nmeandka ili wahusika waweze kujua changamoto za walimu wapya! JAMANI CHONDECHONDE USICHANGIE HII THREAD IACHE IPOTEE YENYEWE! fyuuuuu!
 

vp bamdogo kasemaje kuhusu ajira za mwaka huu kuna wadogo zetu wanahahah mtaani?
 
watu ambao hawajawanzaga maisha utayajua unapoanza maisha vitanda vifaa vya ndani huwa watu wananunua kidogokidogo .ba sio waalimu wa 2014. hata kama ni pilot anaanza hivyo. try to be a real great thinker
 
We kama unadegree utakuwa umesoma UDSM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…