Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji 8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini,hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini 9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN
Umekaa ukafikiria na wewe uandike nini ndo unakuja na utumbo huu! wewe ni miongoni mwao? au wewe ni mwalimu wa mwaka gani? the way ulivoandika sidhani kama wewe ni mwalimu! let say ni kweli uliyoyaandika, wewe yanakuhusu nini? na unataka tufanye nini hapa? yaani katika kuchangia hii "the so called topic"yako tuchangiaje?
Ninini cha ajabu kwa mwalimu mpya kulalamika kwa ndugu zake kuhusu mahali alikopangiwa? na kwataarifa yako kuhusu hilo siyo walimu wa sasa tu! hata hao baba zako waliokufundisha kijijini kwenu walilalamika hivohivo! nani anapenda maisha katika mazingira magumu?
kwenda na vitu vichache ninini cha ajabu? ninini kipya? mahali ni mbali hauwezi kusafirisha mizigo yako yote! gharama za usafiri ni afadhali ununue vitu hukohuko kama vipo! na inategemeana kama tayari nyumba wameshapata!ulitaka wawe na vitu vingi mapema hivi unadhani hawana akili kama wewe? unafikiri kitoto sana mkuu .. no siyo mkuu.. unafikiria kitoto sana .......!
halafu acha umbea na uongo kwasababu kwa sasa walimu hao wapo kwao kwaajili ya kujiandaa kwenda rasmi walikopangiwa!