Sifa za wanaume wa leo

Anaomba maukoko anaparua anakula..tena analia kwa sufuria!
 
Sorry mkuu unaishi Dar sehemu gani?
Vipi bei ya mchele huko?
Anyway najua umewalenga wanaume wa kwenu(Dar)
Subiri waje
 
Sorry mkuu unaishi Dar sehemu gani?
Vipi bei ya mchele huko?
Anyway najua umewalenga wanaume wa kwenu(Dar)
Subiri waje
kwani we mkuu unaishi mkoa gani??
bei ya mchele inahusika vipi na uwepo wa mwanaume ndani ya nyumba??
hawa niwazungumziao hapa ni wale wasiojihusisha na kazi yoyote ya ndani ya nyumba mf. nyasi zinaota nje ya mlango fyekeo lipo lkn lijamaa linakatiza tu mlangoni kila siku mpaka siku agongwe na nyoka

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwa huko Dar nasikia ni kawaida
Ila huku kwetu sisi mwanaume wa design hiyo sijawahi kumsikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…