Sifa za wanaume wa leo

Ila hao wapo wengi wanaoshindwa kubadilisha 💡 iliyo ungua wanaita fundi na hajui bei ya 💡 nakula pesa zao nyingi sana
niliwahi kumsikia fundi redio kuwa kuna baadhi ya watu walikuwa wakimpelekea redio ambazo betri hazikupangiliwa sawasawa (enzi zilee za redio za mkulima). Yeye akiona vile humwambia mwenye redio amuachie halafu apite baadae, huziweka sawa zile betri na mwenyewe akifika anapigwa chaji ya ufundi, maisha yanaendelea.
 
Wanatembea na mashemeji zao ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…