Sifa za wanaume wa leo

Sifa za wanaume wa leo

Unforgettable

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
5,584
Reaction score
12,461
Maisha yanatupeleka kasi sana na wanaume wa dizaini za Baba zetu wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu nilichokiona.

-Mwanaume wa leo hawezi badili taa iliyoungua mpaka amwite fundi.
-Mwanaume wa leo anaogopa panya.
-Mwanaume wa leo anakagua masufuria jikoni/kulamba mwiko.
-Mwanaume wa leo anajipodoa/kuvaa nguo zinazoonyesha maungo yake.
-Mwanaume wa leo anakula asivyogharamia.

Ongezea vya kwako ulivyoviona kabla hatujaanza vya wanawake wa leo ambao si kama mama zetu.
 
IMG_9129.jpg
 
Back
Top Bottom