sifa za wanaume wachaga wa kibosgo

Amney

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
54
Reaction score
4
Wanajf nmerudi tena nlkua nauliza sifa za wanaume wa kichaga wa kibosho ni zipi?
 
Wanajf nmerudi tena nlkua nauliza sifa za wanaume wa kichaga wa kibosho ni zipi?

Ni kama hivi kuwa ni:
1. Kuoa na kuacha tena bila matunzo ya kueleweka kwa watoto nina mifano kama kumi na zaidi
2. Wanapenda mali, mkiachana atavizia wakati mke hayupo anapakia kila kitu ndani
3. Ni wachoyo sana hela yake inatoka kwa manati
4. Ukimrusha ni lazima akumalize
5. Mkitalikiana maintainance kwa mtoto ni 30,000 kwa mwezi hata kama anafanya kazi ya mshahara million kumi kwa mwezi.
6. Kwa wakwe ni wachoyo, mgeni akifika anapewa kiporo hata kama chakula fresh kimepika muda huu
7. Wanapenda sana kutembea na mahousegirl, hii piga ua ndo sifa yao kuu, nina mifano kadhaa.
8. Ni walevi wa pombe sana na malaya
9. Ukinunua naye kitu hakikisha mnaandika majina yenu wote au uwe unaandika jina lako maana mkiachana atakimbia na documents zote na atabadilisha majina faster ni wajuzi wa kugushi
10. Low perfomer kitandani
Ongezeeni.Nimeongea kwa experience yangu nao as mkibosho!!
 

Du! wewe ni kiboko. ngoja wachaga waje utakoma kuwavua nguo kama ulivyofanya. Vipi wewe ni victim wao?
 
don't force people believe you are out of your brain!!
 
Du! wewe ni kiboko. ngoja wachaga waje utakoma kuwavua nguo kama ulivyofanya. Vipi wewe ni victim wao?

Mkuu hawa hawanibabaishi kabisa maana ninawajua mno hata kwa majina ambayo ni wasomi na wametelekeza wake zao i.e ndoa hazidumu nitakutajia ni kwa vile tu hapa sitaki kufanya character assessination maana wengine walikuwa ni waheshimiwa but ndoa kaputi! Halafu nimesahau moja, ni warushi sana, akifika kwako kukuomba mkopo hutampata. Mimi nimetapeliwa na mmoja wao ambaye tena nimemsimamia ndoa (jina kapuni) but ninajiandaa kumtoa media muda si mrefu na picha yake kabisa. In short wana kadamu kwa wizi!!! Waje na wanishambulie mimi ni mwenzao na siogopi!!
 
don't force people believe you are out of your brain!!

Com on njoo tuingie kwenye ligi chagua kati ya Man U na Man City!!! Nitakutoa, I know you guys!!!! Tena nimeacha mengie nimeona nitawavua nguo mno, do you want me to......Sleep well!!!
 

Kwahiyo na wewe ni wale wale au we damu yako ilichujwa?
 
loh....
Maane umeua....

Hapana mkuu. Kule uchagani kwetu kuna ukoo umeacha laana kabisa kuwa mtoto wa ukoo huyo asiolewe au kuoa kibosho kuepukana na hiyo damu. Unaposikia mjini wakisema mwogope mkibosho si uongo, kuna ukweli ndani mwake. Unajua wale ni wachinja nyama sana hivyo kukupiga panga au kiandu ni kazi ndogo sana. Hapa ninaongea with confidence full of experience with these dudes!!
 
Kwahiyo na wewe ni wale wale au we damu yako ilichujwa?

Damu yangu ilichujwa kwa jina la Yesu Kristu maana ilibidi niombe hata watoto wangu wasirithi tabia hizo in short nilifanya maombi ya kuwakatiza na laana za vizazi. I am serious!! Kule ni balaa!!! Hakuna cha msomi au ambaye hajasoma ni umangi tu na mwanamke kwao siiiii issue kabisa. Ndo maana dada zao tunaolewa na watu wa nje ya kule. Nasema waka na womi nawataka hapa mkane!!!
 
Vipi wagogo nao kwani nao si chinja chinja wana undugu au ndio umehamua kuwavua nguo hawa jirani zangu? Mimi naamini tabia mbaya ya mtu haitokani na kabila au sehemu anayotoka bali makuzi yake yaani mazingira pia na roho yake hata azaliwe wapi kama ana roho mbaya hawezi badilika
 
 
Ukimkuta mwema ni mwema kupitiliza.Ukimkuta wa hovyo ni wa hovyo mpaka kupitiliza!
 
Wakibosho wapo cool sana. Akileta proposal huitaji kujiuliza mara 2
 

Nashukuru mtu wangu hiyo namba 4 na namba 10 nmeexperience kabisa, bt naomba nifafanulie kwa uzuri namba 4
 
 
Uliwahi kugombana nao? Maana sifa hizi ingawa wanaweza kuwa nazo lakini zimekikaa kishari sana. Hata hivyo tumepata cha maana hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…