Ni kama hivi kuwa ni:
1. Kuoa na kuacha tena bila matunzo ya kueleweka kwa watoto nina mifano kama kumi na zaidi
2. Wanapenda mali, mkiachana atavizia wakati mke hayupo anapakia kila kitu ndani
3. Ni wachoyo sana hela yake inatoka kwa manati
4. Ukimrusha ni lazima akumalize
5. Mkitalikiana maintainance kwa mtoto ni 30,000 kwa mwezi hata kama anafanya kazi ya mshahara million kumi kwa mwezi.
6. Kwa wakwe ni wachoyo, mgeni akifika anapewa kiporo hata kama chakula fresh kimepika muda huu
7. Wanapenda sana kutembea na mahousegirl, hii piga ua ndo sifa yao kuu, nina mifano kadhaa.
8. Ni walevi wa pombe sana na malaya
9. Ukinunua naye kitu hakikisha mnaandika majina yenu wote au uwe unaandika jina lako maana mkiachana atakimbia na documents zote na atabadilisha majina faster ni wajuzi wa kugushi
10. Low perfomer kitandani
Ongezeeni.Nimeongea kwa experience yangu nao as mkibosho!!