sifa za wanaume wachaga wa kibosgo

 

Umeolewa na kuachwa na wakibosho wengi kiasi una experience kubwa namna hii, duh! Na wewe, si uishi peke yako sasa au uolewe na Mkurya tu yaishe?
 
Uliwahi kugombana nao? Maana sifa hizi ingawa wanaweza kuwa nazo lakini zimekikaa kishari sana. Hata hivyo tumepata cha maana hapo.

Mkuu kama nilivyojieleza awali ni kwamba nina experience ya watu ishirini ambao wamepita kwa wanaume wa kibosho wakiwemo wanawake wa kibosho wenyewe. Their experience is hard to tell!!!! Yaani huwezi kutofautisha mwanaume msomi na anayechinja bucha kibosho, wote tabia ni moja tu!!!! Believe me or else chunguza familia zao hata huku mjini jibu utalipata!!!! Kwa mfano kuna mmoja alikuwa anampiga sana mke wake yaani hata akiwa na operesheni ya uzazi yeye analipua tu. Siku moja mkewe akaenda kulalamika kwa mshenga mwishowe mumewe kajibu "mbona baba alikuwa anampiga mama na yale meno pale mbele yameng'olewa na baba lakini bado yupoo na baba hayaondoka na wewe tu kukupiga vikosi na vibapa vya panga unataka kuondoka?"" Haya ni maneno ya mkibosho msomi mwenye masters mbili cha uchumi na mtumishi wa Benki Kuu ya Tanzania". Ndiyo maana nimesema sitaki kuwavua nguo hawa kaka zangu, nawajua mno.
 
Umeolewa na kuachwa na wakibosho wengi kiasi una experience kubwa namna hii, duh! Na wewe, si uishi peke yako sasa au uolewe na Mkurya tu yaishe?

Hapana mkuu, uzoefu wa mama yangu na shangazi na dada zangu na marafiki unatosha.
 
EWE NGILOLYE KOFUNDE HWE? KIKI KUCHAMBA SIRI TA MBA WAI? KWANZA EWE KIOSO OKWI?KULAODE NTA AIBU KYOMANA WANA WENI WAWA WASUKO KO MANA MUFATILYA MILA KUCHU.EDOTA LAANA TA SHISASI CHE SABABU YAMBA KWAMBA KUKEI SALAMA HWE?
Dede kuchu!
 
dede kuchu!

siri ta mba!!! Ni dede kuchu womi na waka!!!! Mama nalekabo kafyika ncha womi!! Na tulimzika kwa sababu ya mateso. It pains me a lot!!! Sorry for this but have to be open!!
 
Maane pole. You have a very bad experience about Kida Saa. Bahati mbaya sana wote uliangalia labda Suti na tai! Kugeneralize kuwa wako hivi am vile unakosea! hujakutana na watu wenyekujua kupenda na kutunza! In short I can say every society have negative and positive impact on a particular issue. Hata kule wanakosifika kwa kikata viuno kuna wanaume walegevu katika masuala husika. Mfano zamani ninyi dada zetu mlikuwa matumizi ya mtandao ule tIGo! Wengi wenu ni watumiaji sasa! kataeni lakini wengi ni wateja ww huo mtandao na hats bakhresa mnatumia sana! Bisha!
 

duh......sina la kusema
 
[QUOTE=. It pains me a lot!!! Sorry for this but have to be open!!
Open 4/2 whom!! It looks as if sometin is akombo at yo family lady sister!!
 


Wanasema huwezi kujuwa kuogelea bila kudumbukia kwenye maji...
Haya mwenzetu unaewajuwa wakibosho namna hiyo je tueleze uliachika mwaka gani?
Na mpaka leo jamaa anakupa elfu 30 ya matunzo?
 
Mmmhhhh bishanga hapa sitii neno.
 
EWE NGILOLYE KOFUNDE HWE? KIKI KUCHAMBA SIRI TA MBA WAI? KWANZA EWE KIOSO OKWI?KULAODE NTA AIBU KYOMANA WANA WENI WAWA WASUKO KO MANA MUFATILYA MILA KUCHU.EDOTA LAANA TA SHISASI CHE SABABU YAMBA KWAMBA KUKEI SALAMA HWE?

Teh teh teh kazi ipo

CHI NG'AAMBA SIRI TA MBA FYO SIR. ENYI WO KIRIMA ILA LUKAA NJINI MUDA FUNG'ANYI HATA NGECHI KIWOSO NCHA VOO. MILA NGETIMANYA SIR NGIKAI NA MAMA MUDA FUNG'ANYI SANA KIOSO LAKINI TABIA ZA WOMI!!!!

Duuh naomba tafsiri jamani mmetuacha mataa.....ila inaelekea jamaa alikua analalamika umewaacha uchi!!!
 

Hivi eee.....na wamachame je?! maana mie huwa naambiwa nisiwasogelee,sasa nimempata mchumba nifanyeje wajameni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…