1. Wagomvi sana.
2. Walevi. Wakilewa wana makelele sana.
3. Wachafu sana.
4. Wana mikono birika- wabahili sana.
5.Nilimsikiaga mama mmoja akimwambia mwenzake:"Wanaume wa kibosho ni magoigoi kitandani."
me nafikiri kila mtu anatabîa zake, make kuna wakaka flan wakibosho mkubwa kwel ni mchafu,yupo rafu kwel hajijali pia ni mbahili. ila mdogo wake ni smart ukienda kwake utadhan ana mke,ni mtoaji na anaemjal gf wake!
Wanaume wa kichaga wakioa mwanamke mwenye hela huja kum-kill badae ili warithi mali.
Mifano ninayo kama mi-4 hv.
Hiyo sifa mojawapo ya kwao,japo cjajua ni wa-Kibosho au vp!