Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Taja sifa za wanaume mweusi.
--Mbavu nene,
--Mashababu hawachagui kazi
--marijari "Hakuna shoga Mweusi"
--Wanajiamini sana
--sio mchele mchele.
--Ukisusa tu yeye anakula
--Achagui location kila pande yeye anapita tu,
--Sio madomo zege
--Confidence 100,ukilianzisha analimalizia,
--Akizaa mtoto ni kama ana copy kwake na kupaste kwa mwanae,
--Wana vidole vinene alafu vigumu kinyamaaa,
--Sura ya shikamoo ata kama bado Chalii,
--wanapenda kunyoa Afro na kuvaa suruari nyeusi tii,
--Wanakuwaga na ndevu kama Osama, makata mavi ya kutosha na garden love kama zote,
--Wababe wababe sanaaa
---
__
Ongezea sifa zingine
Cc Zero IQ