Hebu weka jina lake tuzame PM nasi tukahakiki hayo usemayo. Vinginevyo ni uzushi tu🤣Aise kuna mdigo mmoja mrembo wa jf tuligegeduana....hatari mrembo huyo anajua jamani kuchezea delibolo balaaa. Mpaka kesho sijapata wakumzidi
Ah huyo hapana sitaki wakuluga mumuonje she is very very specialHebu weka jina lake tuzame PM nasi tukahakiki hayo usemayo. Vinginevyo ni uzushi tu🤣
🤣🤣😂 upo radhi wengine waonje lakini wakuluga wa JF wasionje. Vibaya hivyo.Ah huyo hapana sitaki wakuluga mumuonje she is very very special
Wengine walishaonja na wamewnjoy kweli kweli ila jamaa wa jf hapana aise sitaki waonje pale....ni patamu balaaaa🤣🤣😂 upo radhi wengine waonje lakini wakuluga wa JF wasionje. Vibaya hivyo.
Tupia jina tukahakiki
Wewe umemaliza wasambaa ni wavumilivu sana.Ukitaka mapenzi motomoto safiri na Mdigo ukitaka heshima na kujituma safiri na Msambaa.
Ila kumbuka Mdigo hana haramu na binamu yake [emoji44][emoji44][emoji44]
Aisee so hapo ata binamu wanagegeduana vizuri.Ukitaka mapenzi motomoto safiri na Mdigo ukitaka heshima na kujituma safiri na Msambaa.
Ila kumbuka Mdigo hana haramu na binamu yake [emoji44][emoji44][emoji44]
R.i.pWakuu habari,
Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku,
Pia Nani kafundwa Kama mmakonde?
Ujumbe
"Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye upendo wa kweli! Ukiona kabadilika! Jua kabadilishwa USIMLAUMU" (mshana junior 2017)
Mshana Jr
Vipi wasambaa wapo wakristo na je wanawake wa kisambaa ni wazuri wa umbo? Nimekuuliza hivyo kwasababu unaonekana kuwafahamuWewe umemaliza wasambaa ni wavumilivu sana.
Jmaa ya wa0sambaa uwiano wa wakristo na waislamu , ni kama 60% kwa 40% ila huwezi kuwajua kwa sababu wanavaa stara kutokana na maeneo yao ya kule milimani ...Kuna makanisa mengi kama misikiti .Vipi wasambaa wapo wakristo na je wanawake wa kisambaa ni wazuri wa umbo? Nimekuuliza hivyo kwasababu unaonekana kuwafahamu
Nataka nikatafute mke huko usambaani ila sijawahi kuishi na mwanamke wa kabila hiloJmaa ya wa0sambaa uwiano wa wakristo na waislamu , ni kama 60% kwa 40% ila huwezi kuwajua kwa sababu wanavaa stara kutokana na maeneo yao ya kule milimani ...Kuna makanisa mengi kama misikiti .
Wenye maumbo wapo wengi tu , wana mchanganyiko wa wapare na wachaga kwa mbali.
Kwahiyo mkuu wanawake wa kisambaa wana tabia zipi?Kwahiyo wamakonde wanafundwa? Make kwanza ncheke.
Kwenye swala la kufunda hebu acha kufananisha wadigo na mavitu za kijinga
Kitabia wadigo ndiyo wenye tabia za watu wa pwani kuliko wasambaa na hata location wao ndio wako pwani zaidi. Wasambaa watu wa milimani kama wapare tu
Kwahiyo kama unajua watu wa milimani tabia zao na wale wa pwani tabia zao haya kazi kwako sasa!
WapambanajiKwahiyo mkuu wanawake wa kisambaa wana tabia zipi?
Hawana noma , wakarimu sana .Nataka nikatafute mke huko usambaani ila sijawahi kuishi na mwanamke wa kabila hilo
KWA UTAFITI NILIOUFANYA...
WASAMBAA NA WABONDEI... WOTE BAADHI WANA VYOTE UCHAWI NA MAPENZI... AU HAWANA VYOTE... AU WANA KIMOJA...