sifa za wanawake "Mdigo vs Msambaa"

sifa za wanawake "Mdigo vs Msambaa"

Aise kuna mdigo mmoja mrembo wa jf tuligegeduana....hatari mrembo huyo anajua jamani kuchezea delibolo balaaa. Mpaka kesho sijapata wakumzidi
Hebu weka jina lake tuzame PM nasi tukahakiki hayo usemayo. Vinginevyo ni uzushi tu🤣
 
Ah huyo hapana sitaki wakuluga mumuonje she is very very special
šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜‚ upo radhi wengine waonje lakini wakuluga wa JF wasionje. Vibaya hivyo.

Tupia jina tukahakiki
 
šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜‚ upo radhi wengine waonje lakini wakuluga wa JF wasionje. Vibaya hivyo.

Tupia jina tukahakiki
Wengine walishaonja na wamewnjoy kweli kweli ila jamaa wa jf hapana aise sitaki waonje pale....ni patamu balaaaa
 
R.I.P Mleta uzi, maisha ya binadamu ni hadithi tu. Basi ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa...
 
Ukitaka mapenzi motomoto safiri na Mdigo ukitaka heshima na kujituma safiri na Msambaa.
Ila kumbuka Mdigo hana haramu na binamu yake [emoji44][emoji44][emoji44]
Aisee so hapo ata binamu wanagegeduana vizuri.
Dah basi hili ndio kabila lakuoa aisee.
Kumbe nimepoteza bonge la opportunity😭😭😭😭
 
Wakuu habari,

Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku,

Pia Nani kafundwa Kama mmakonde?

Ujumbe

"Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye upendo wa kweli! Ukiona kabadilika! Jua kabadilishwa USIMLAUMU" (mshana junior 2017)

Mshana Jr
R.i.p
 
Kwa utulivu, Kujituma na Nyoti safi wanayo Wasambaa, Wadigo issue za Vitandani ndio balaa
 
Vipi wasambaa wapo wakristo na je wanawake wa kisambaa ni wazuri wa umbo? Nimekuuliza hivyo kwasababu unaonekana kuwafahamu
Jmaa ya wa0sambaa uwiano wa wakristo na waislamu , ni kama 60% kwa 40% ila huwezi kuwajua kwa sababu wanavaa stara kutokana na maeneo yao ya kule milimani ...Kuna makanisa mengi kama misikiti .

Wenye maumbo wapo wengi tu , wana mchanganyiko wa wapare na wachaga kwa mbali.
 
Nataka nikatafute mke huko usambaani ila sijawahi kuishi na mwanamke wa kabila hilo
 
Kwahiyo wamakonde wanafundwa? Make kwanza ncheke.

Kwenye swala la kufunda hebu acha kufananisha wadigo na mavitu za kijinga

Kitabia wadigo ndiyo wenye tabia za watu wa pwani kuliko wasambaa na hata location wao ndio wako pwani zaidi. Wasambaa watu wa milimani kama wapare tu

Kwahiyo kama unajua watu wa milimani tabia zao na wale wa pwani tabia zao haya kazi kwako sasa!
 
Kwahiyo mkuu wanawake wa kisambaa wana tabia zipi?
 
Ina maana aliyeanzisha huu uzi ni Marehemu kweli au ni vipi maana sielewi
 
Back
Top Bottom