Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kaandika ukweli, japo siyo tatizo sana kurejeshwa kwa Muumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni ukweli mkuu haswa wamachame
Hakuna ukweli wowote hapo. Hizo ni myths tu zinazosambazwa na wasio wachagga. Mnaosema tu wala hamna proof yoyote ile.Chalii mbn hii kila mtu anajua...siri ishafichuka kitambo sasa sijui unaficha nini
Mkuu wewe acha kubisha wakati wengine ni wahanga...au umezaliwa na ubishi mkuuu...unadhani Kuna Jambo hapa duniani linazuka tu.Hakuna ukweli wowote hapo. Hizo ni myths tu zinazosambazwa na wasio wachagga. Mnaosema tu wala hamna proof yoyote ile.
Ujafika mwisho bado! Subiri!
Kwanza ataanza kujenga kwao kwa siri bila mme kujua, kisha ataanza kuhamisha mali taratibu huku anakulia timing akuondoe!Mkuu wewe acha kubisha wakati wengine ni wahanga...au umezaliwa na ubishi mkuuu...unadhani Kuna Jambo hapa duniani linazuka tu.
Mengi mwenyewe yalimshinda na wote walikuwa wa huko machameni
Hakuna ukweli wowote hapo. Hizo ni myths tu zinazosambazwa na wasio wachagga. Mnaosema tu wala hamna proof yoyote ile.
Hapana mkuu, unahisi nimejipigia promo eeh? Mimi ni mkurya.we
we nae n manka?
Killboy huyu yupo hapa Nyamongo,Tarime
Mkuu siku hizi wapo wachaga wanayajua mapenzi hatariWakina manka mpo juu...ila kwenye mapenz...naomba niwavue nyota...hamna kitu
Mkuu wewe acha kubisha wakati wengine ni wahanga...au umezaliwa na ubishi mkuuu...unadhani Kuna Jambo hapa duniani linazuka tu.
Mengi mwenyewe yalimshinda na wote walikuwa wa huko machameni
Anakutuma ukawahi siti [emoji23]6,hawan chura
7,magogo
8.hawako romantic
9.ukitajirika sana unatangulizwa mbinguni.
Kwanza ataanza kujenga kwao kwa siri bila mme kujua, kisha ataanza kuhamisha mali taratibu huku anakulia timing akuondoe!
Sent using Jamii Forums mobile app