Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kaandika ukweli, japo siyo tatizo sana kurejeshwa kwa Muumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni ukweli mkuu haswa wamachame
Hakuna ukweli wowote hapo. Hizo ni myths tu zinazosambazwa na wasio wachagga. Mnaosema tu wala hamna proof yoyote ile.Chalii mbn hii kila mtu anajua...siri ishafichuka kitambo sasa sijui unaficha nini