Sifa za wanawake wa kichaga

SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA
1. Wakarimu
2. Waaminifu
3 . Wavumilivu
4. Wachapakazi
5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo[emoji18]

Nani anabisha ? [emoji16]ajifanye kama anajikuna[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naomba kufahamu sifa mahususi za wachaga wa machame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…