financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Nipo mkuu, ntakuona keshoNzuri kabisa jirani,hujaonekana hapa Tarime umeshasafiri na kutafuta kungwi wa kichaga? Kama upo basi kesho njoo kijiweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mkuu, ntakuona keshoNzuri kabisa jirani,hujaonekana hapa Tarime umeshasafiri na kutafuta kungwi wa kichaga? Kama upo basi kesho njoo kijiweni
Jiongeze mkuu, huoni kama ile rangi inaelekeana na ya binadamu na binadamu mwenye rangi ile anaitwaje kama siyo mweupe (white). Imeisha hiyoooHivi dhahabu ni white...eti mkuu...???
Nipo kwenye process hizo mpenzi
😀ngoja aje ajibu tuhuma hiziKillboy huyu yupo hapa Nyamongo,Tarime
ngoja niendelee kuwa probe wakurya maana nipo nao sanaa huk walau nipate sifa zao due kuna moja wanasema lazima wachezee kichapo ndo waamin wanapendwa,nahc wametokea ukoo wa thomaso
Wahaya wana shape nzuriii, afu wana katerero pia.Na sisi wanawake Wa kihaya mtatuandika lini? Tuna sifa nyingi zaidi pia.
Wakora waitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
I dun regret the things I did wrong..I regret the bad things I did for right people !Na sisi wanawake Wa kihaya mtatuandika lini? Tuna sifa nyingi zaidi pia.
Wakora waitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana sifa nzuri hata moja???Wahaya wana shape nzuriii, afu wana katerero pia.
Dah kuna siku waliandika sifa za kabila letu humu nilicheka sanaa, hamna sifa nzuri hata moja khaa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa mnyakyusa au msukumaWahaya wana shape nzuriii, afu wana katerero pia.
Dah kuna siku waliandika sifa za kabila letu humu nilicheka sanaa, hamna sifa nzuri hata moja khaa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
I dun regret the things I did wrong..I regret the bad things I did for right people !
umenena vyema mkuu ila hiyo namba 5 🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA
1. Wakarimu
2. Waaminifu
3 . Wavumilivu
4. Wachapakazi
5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌
Nani anabisha ? 😁ajifanye kama anajikuna😁😁😁😁😁
Atakuja😀ngoja aje ajibu tuhuma hizi
Sawa usikose
Shape nzuri si ni wahaya hao sasa,Hawana sifa nzuri hata moja???
Kuwa na shape namba 8 sio sifa nzuri ?
Comment ya kipuuzi hii. Eti huyu naye ataitwa baba siku zijazo.Nasikia wanaume wakichaga hawazamagi kwenye chumvi..ndio maana watoto wakichaga ukiwashukia kwenye chumvi huwa wanadata kwelikwel..
acha nicheke tu mkuu 😂😂😂 jf tunadharaukiana sana nyuma ya keyboard ila comment za maana zipo jukwaa la siasa hukooComment ya kipuuzi hii. Eti huyu naye ataitwa baba siku zijazo.