Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Januari wana hasira za kulipa skul fiiiz balaaWanawake tunatrend sana mwezi huu
yaani mpaka sasa nyuzi zinahusu wanawake zinafka hata mia moja.na zote za kusemwa vibaya tu khaa,,Januari wana hasira za kulipa skul fiiiz balaa
pambaneni na hali acheni kulalamikaAhh! wapi,January hii....
Andamaneni bn kupinga kusemwa semwa ninyi tu kila wakati[emoji23]Wanawake tunatrend sana mwezi huu
itabidi kwakweli😅😅😅Andamaneni bn kupinga kusemwa semwa ninyi tu kila wakati[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app