Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
WATU WA BLOOD GROUP O WALIO WENGI
Hawa ni watu wenye HASIRA na UBABE sana kwenye maisha yao hawa wwtu WATU WA O
Hawa watu nawaita watu hekaheka (masafa) ukikuta O mchovu basi anatakuwa na changamoto za kiafya au KIMAUMBILE. Hawa wengi wana pumzi za PUMA na wana nguvu za Simba. Wao ni wewe tu, wanapenda la muda mrefu ili mkimaliza mlale kabisa. Wanaume wa O WALIO wengi hupenda kuunganisha masafa
Wanapenda upendo wa nipe nikupe. Wanapenda wakitoa kitu na wao wapate kama hicho au zaidi. Wanawekeza kwa faida si kwa kujitoa tu wanataka mrejesho. Wengi huwa wanafanya mambo kwa matarajio makubwa.
Hawakubali kujishusha wakikosea wanapenda kushindana hata kwenye mambo yanayohitaji neno SAMAHANI. Muda wote wao wanataka wawe sahihi. Wako tayari kubadilisha kosa lake liwe lako hawapendi kukosolewa kabisa wao
HAWAPENDI KUSHINDWA WAKATI MWINGINE HUFANYA MAMBO ILI KUPATA SIFA watu hawa hawapendi kusema sina nafasi au siwezi. Wanatoa offer sana, wanatoa ili kuonekana na wao wametoa kwa nini yeye asitoe. Wanapenda sana kufanya vitu ili wasifiwe au waonekane na wao walishiriki. Wengi maisha yao huwa magumu kwasababu wanashirikishwa mambo ya pesa zaidi kwasababu wanapenda kutoa. Kila kadi ya mchango lazima apewe na atatoa tu😀
Wakiwa na shida hawapendi kuonekana wao ndio wenye shida humtafuta mtu anambebesha hiyo haja yake mfano anataka kukopa anamwambia mkewe kanikopee hataki kuonekana yeye ndiye anahitaji. Anataka kuomba ruhusa kazini kwasababu zake utasema mtoto, mwenza, mzazi wangu anaumwa au nampeleka mahala. Wao hawapendi kuonekana wana changamoto.
WANAUME WENGI wapiga vibom sana wanajua kutengeneza mawazo ya kuombea hela kwa wake zao. Yaani anaweza kukuletea project ukaingia king kumbe akafanye yake.
SIFA washindani sana alifanya kitu utasikia hakuna mtu kama Mimi pale ofisini mwenye nyumba, mke mzuri, nk wanafanya ili wasifiwe
USAFI wanaume wengi wanajipenda nje ila ndani wako rafu sana. Wanavaa nguo za bei ila wanapoishi pachafu wanajipenda nje ila ndani hovyo. Wanapenda kunukia na kula nyama na akiwa mnywaji anakunywa kweli wa pombe
WANAWAKE wengi wa O ni wasafi sana na wanajipenda na wanajikubali sana walivyo
MUONEKANO wao wanawake wengi wa O ni wanene wa ujumla (wamejaa kote) na wengine ni wembamba sana. O wengi hawana muonekano kama wa wanawake wa A au AB ila wapo wachache wenye shape na ukimkuta ana shape huwa washape haswa sio ya kitoto 🙌
KAZI: Kwasababu ya ujasiri na ubabe wao wanapenda kazi zinazohusiana na majeshi na mambo yanayohitaji ubabe na ujasiri mkubwa. Wengi utawakuta huko na ukikutana O utajua
CHANGAMOTO: Wanasumbuliwa na mafua sana kwasababu wanapenda manukato sana, wengi wana miili mkubwa sana kwasababu ya mfumo wao wa ulaji na unywaji pombe mwingi.