Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 155
Hivi warangi wanatoka Kondoa au Singida?Wanapenda Sana ccm halafu ni maskini wakutupa na ni ombâ omba balaa
Mkuu umenikumbusha mbali huko kote nimekaa kuanzia makutupora, chenene hadi aneti.Kondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.
Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA
Mambo mengine utajifunzia huko.
Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.
Zaid ni maji Mara moja
Mkuu kwani ww sio mrangi?Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....
Ovaaa
Mbona hakuna aliyesema kondoa ni mkoa? Wote tunajua kondoa kondoa ni wilaya iliyopo mkoa wa dodomaKondoa sio mkoa ila ni wilaya
kondoa bhana kunae mambo meng tu nadhan weng mmeangazia zaid kwa wanawake lakn kondoa pia kuna vivutio kama michoro ile ya mapangon pia utakutana ugal huko upo kama cement rang yake wa mtama huo halaf pia hali ya hewa upepo flan hv 2livu c kama dar joto had nyuz32
Usiguse demu hapo, utasahau kurudi kwenu!Wanajamii forums, heshima kwenu.
Nimepata safari ya kikazi kwenda wilaya ya Kondoa (Kondoa mjini) na nitakuwa huko kwa muda wa kama mwezi hivi.
Huwa napasikia tu. Vipi maisha ya Kondoa? Vipi na wenyeji wa Kondoa (nini wanapenda na nini hawapendi?)
Kwa wanaoijua vema Kondoa, msaada wenu wa mawazo ni bora muhimu sana
Mkuu hapo kwenye maji Mara moja umemaanisha nini?Kondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.
Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA
Mambo mengine utajifunzia huko.
Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.
Zaid ni maji Mara moja
Hilo pori linaitwa mtungutu au aka msitu mtu kutuKondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.
Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA
Mambo mengine utajifunzia huko.
Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.
Zaid ni maji Mara moja