Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

Kipindi nipo haneti kuna jamaa mrangi nakumbuka aliniambia maneno haya "rafiki yangu nakushauri katika maisha yako usije kuoa mrangi japo mimi mwenyewe mrangi pia sitaoa mrangi"
Nayakumbuka haya maneno ya jamaa hadi leo
 
Duh mkuu!wakati huo pikip
Ukitika Soya unakuja
Songolo ,
Chandama ,
Goima,
Mondo
Kisha unaingia Kondoa Mjini.
Wakati huo bodaboda hakuna pikipiki chache usafiri Baiskeli. ....nakumbuka nlikuwa natoka soya hadi mwakisabe. -mwakisabe to segala bombani ---segala bombani to aneti,kwa Baiskeli tu
 
Usikose kutembelea chemi chemi ya maji moto hapo chini karibu kabisa na town sijui panaitwaje nishasahu kitambo sana tulienda kwenye tour ya P/school. halafu pia kuna mti muda woote unanyesha mvua hapo hapo town
mkuu hiyo mvua inanyesha kwenye huo mti tu au na inanyesha 24/7
 
mkuu hiyo mvua inanyesha kwenye huo mti tu au na inanyesha 24/7
Yani ni chini ya huo mti tuu.... maajabu kabisaa... me nilikuwa nasimuliwa tu nikaenda kushuhudia kwa macho yangu. tukaenda hadi chini ya huo mti mvua ikatunyeshea, wenyewe wakatuambia ni mibaraka
 
Kipindi nipo haneti kuna jamaa mrangi nakumbuka aliniambia maneno haya "rafiki yangu nakushauri katika maisha yako usije kuoa mrangi japo mimi mwenyewe mrangi pia sitaoa mrangi"
Nayakumbuka haya maneno ya jamaa hadi leo
Hawajui kusema no! any time ukigusa ni yeeeeees!!!! even mke wa mtu, hata katoto ni yeeeessss.....
 
Karibu sana mkuu, mi mwenyewe sio muda baade kidogo mchana nitaenda, ni pazuri kiukweli. tarajia mengi huko ili usipokuwa makini utabadilisha dini ikibidi hadi kabila maana kuna watoto wakali hatareeee. ukitoka dom utaanza kupita makutopora,mzakwe,zanka,mayamaya,zamahero, mtungutu (hapa kuna msitu mkubwa),chenene,haneti,kidoka,kambi ya nyasa, chemba, kelema (maaraufu kwa vindege) , hapo utaitafuta bicha (warangi walishindwa kuita beach), halafu kondoa mjini,

kama unatokea Dar wakati wa kurudi unaweza kupita shortcut, ambayo inatokea kiteto halafu Narco ambapo utaunga lami inayotoka dom -moro, hapo utapita mondo,simba,goima,songolo,chandama, mrijo, kiteto hadi narco.

watu wa kondoa wanapenda sana wageni. kuna wakandarasi walikuja kujenga barabara baada ya mradi kuisha, wakatafuta viwanja wakajenga huko huko na kuoa. ni eneo flan zuri sana.

kama utakuwa na nafasi jitahidi kutembelea taraja la kamba la mjerumani, na chemchem ya kondoa, vipo jirani naamini uta enjoy sana.

Kwa hizi kamba za darajani kwa mjeruman mpaka leo hawajabadilisha kabia?
 
Nashangazwa Uislam wameupataje kama Wana Asili nasi Wairaqw kwetu ni Ethiopia i wonder why Wengi wao ni Muslim na hao Waupe kuna Mmoja aliniambia Babu yao alikuwa ni Mwarabu nilihisi ananidanganya ila nikamezea.... Lakini Nywele zao si kama Zetu zao ni za kibantu zaidi.... Wengi wanasema sio wachoyo wa haja Sasa dini wanaing'ang'ania kulikoni....
Wameupata kwa waarabu
 
Mimi ni mzaliwa wa Kondoa.Mengi yamesemwa lkn ninachotaka kukwambia ni kwamba Kondoa ni mji salama sana,watu wake ni wastaarabu sana.Mji wenyewe umejengwa ktk street ni mji msafi na unaweza kutembea hadi usiku wa manane hakuna wakabaji.Kwa upande wa vyakula vipo vingi sana na kwa bei nafuu.Tahadhari jiepushe na wanawake hadi uwe umewaelewa vizuri maana kuna tabia ya kufanyiwa ukikutwa na mke wa mtu au dem wa mtu.Karibu sana Kondoa naamini ukishapazoea hutataka kurudi tena kwenu.
 
Hakuna kitu warangi wanathamini kama Malapa,wanashindana kuyangarishaaa kabla ya kuvaa.

Nenda Ngarenaro Arusha ukajionee nafikir hata huko kwao wapo hivyo. Pia wanapenda ushirikina.
 
Moja kati ya sehemu unazotakiwa kufika hapa duniani ni Kondoa.Wanawake weupe, wazuri na hali ya hewa yenye kuvutia utavipata kondoa.Kuna sehemu za starehe kibao tu na zilizotulia;kdo n mji uliotulia na wengi wao wana hof ya mungu.
 
Back
Top Bottom