Unataka kumpa long route.
Ukitoka Mrijo badala ya kwenda Kiteto anakuja kushoto hadi Chekanao, baada ya hapo anakwenda hadi Matui then Engusero. Anakutana na ile Barabara inayotoka Kiteto. Atanyoosha nayo hadi mkoka na kuunga njia panda Narco. Kushoto mji wa kwanza kibaigwa na baadae Gairo.
Kulia kwenda Dodoma utaanza na Chalinze
NO ya nini sasa jamaa....?? unajilia tu...!!Duh! Kama wako hivi NO
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hahahahahaha mkuu umenikumbusha mbali sana ni kweli huu uchawi upo nikiusikia sana ila kwenye kumuahidi binti utamuoa sio sana ila ww tembea na mke wa mtu uone au mpe mimba alafu usimuoe uone,
Tena hizo siku ulizotaja ww nyingi sn yani ukipigwa juju jumamosi hii ukifika jumamosi ijayo kachinje jogoo,
Ogopa sn mambo ya kunyoana mavuzi akiondoka na mavuzi yako, akikufuta akaondoka na kitamba au condom au chupi lako umekwisha
We usituchafulie mkoa wetu SINGIDAHivi warangi wanatoka Kondoa au Singida?
🙂 vijana wana maneno.. Eti maji Mara moja.Kuna mengi yamesemwa ya kweli na mengine ya uongo.
Kwa hiyo mwanamke yoyote utakaye mtongoza mara moja akakubali ni mrangi. KARIBU sana Kondoa ni wilaya nzuri sana. Ukifika niambie nije nikusalimie
Kweli mniite na Mimi, Tena week end kama hii river side itapendezaKuna mengi yamesemwa ya kweli na mengine ya uongo.
Kwa hiyo mwanamke yoyote utakaye mtongoza mara moja akakubali ni mrangi. KARIBU sana Kondoa ni wilaya nzuri sana. Ukifika niambie nije nikusalimie
Ni pahi Mkuu sio pahe🙂 vijana wana maneno.. Eti maji Mara moja.
Nitakaribi mie niende huko "Pahe* nikaone mababu walikuwa wanafanya nn na muda wao.
Mkuu asante kwa marekebisho.. Nimepajua kwenye uzi hapa hapa.Ni pahi Mkuu sio pahe
Karibu Sana Mkuu. Kuna baadhi ya watu wamesahau kabisa kwao kwa sababu ya lifestyle ya hukuMkuu asante kwa marekebisho.. Nimepajua kwenye uzi hapa hapa.
Karibu Sana Mkuu. Kuna baadhi ya watu wamesahau kabisa kwao kwa sababu ya lifestyle ya hukuMkuu asante kwa marekebisho.. Nimepajua kwenye uzi hapa hapa.
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....
Ovaaa
I see!!!!Kondoa Tamu bana. Unaanza na Chandama . hapa kuna watoto Wa kirangi wazuri. Lkn watoto wa Chandama ni Wa rangi weusi hawa ni wale wanaoitwa Wa Rangi Wa Chemba.
Sifa za wanawake weusi Wa ki rangi ni wapole sana lkn ukiwauzi wanaweza kukuua.
Kuanzia "Aneti " mpk kondoa mjini hapo jiandae Kula Vindege. Wa rangi ni maaruf kwa kuwinda ndege Wa polini na kuwa kaanga vizuri kabisa kisha wanauzia abiria wanaotoka na kuingia Kondoa. Vituo vingi utakavyopita utakuta nyama nyingi za ndege kiliko ng'ombe na mbuzi.
Ukifika Kondoa mjini sasa . Mavazi rasmi ya kina mama ni Ma dera na starah yaani wanapiga shungi.
Na Kila Ijumaa ndio sikukuu kwa wakazi Wa Kondoa. Mji mzima unafurika Watu kutoka vijiji vyote vya kondoa wanakutana Katikati ya mji kwa kipika mbali mbali. So km utakua unataka Wanawake Wa kujiburudishia basi siku iyo ni wengi mnooo .
Sifa ya Mji Wa Kondoa ni mji ulio kimya sana , hakuna sehem za starehe kwa kuwa nature ya wakazi Wa pale wengi ni watu Wa kufanya ibada. Kuna miskiti kila mtaa lkn pia kila mkazi Wa kondoa ni mfanya biashara.
Tarajia kuona daraja la kamba la mjerumani karibu kabisa na gereza la kondoa , lakini pia Tarajia kuona m buyu wa kihistoria ulio katikati ya mji ambao Tan roads walishindwa kuukata ili wapitishe barabara kutokana na Maajabu yake.
Mbuyu huo huo ndio ulipelekea kuhamishwa kwa stendi kuu ya mabasi kondoa kuwekwa eneo jingine.
Tarajia kupendwa na Mwanamke Wa kirangi kirahis sana km utamnunulia kiatu kizuri , dera au cheni.
Tarajia ku logwa ukila mke wa mtu kondoa.
Lkn pia Tarajia upinzani wa hali ya juu ktk siasa kwa kuwa wakazi wengi Wa kondoa ni wafuasi wa chama cha CUF.
Km hujaoa ni rahis kupata mke bora kondoa ila ukikosea kuchagua utaopoa mwanamke ambae atakufanya uwachukie wanawake wote duniani.
Ni wazuri sana km Wa mbulu , wasomali ,wanyaturu au Wa habesh Wa Ethiopia.
Nenda salama Kondoa.
U welcome 😉😉😉Kweli mniite na Mimi, Tena week end kama hii river side itapendeza
Hahahaha, mishe za maisha mkuu hadi Soya na MrijoMkuu umenikumbusha mbali huko kote nimekaa kuanzia makutupora, chenene hadi aneti.
Hivi Kondoa ni Mkoa au wilaya?.Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....
Ovaaa
Mwanangu. Hilo la kufungwa kutopata mke mi ninalo mpaka amenifanyia mama watoto wangu ni mzaramo mixer mruguru VP jamaa yako aliponea wapi?NILISAHAU KUWATAHADHARISHA, WANA UCHAWI WAO FULANI UNAITWA KICHUNGA,KAMA UKIMUAHIDI BINTI WA HUKU KUWA UTAMUOA HALAFU UKAZINGUA, WANAKULOGA NA HAUTAENDA HAJA KUBWA WALA NDOGO KWA SIKU ZISIZOPUNGUA 17, BAADA YA HAPO UTA R.I.P MAANA HAKUNA NAMNA.
NAMNA YA KUJIKINGA NI KUTOMUACHIA BINTI WA HUKU KITU MFANO BAADA YA TENDO AKIKUFUTA AKAONDOKA NA KITAMBAA HICHO IMEKULA KWAKO, AKICHUKUA BOXER YAKO PIA ANAKUPOTEZA.
AKIKUHURUMIA SANA ANAFANYA SIJUI NI KITU GANI ILA HUTAWEZA KUPATA MWANAMKE YEYOTE HATA WA KUNUNUA, YAANI HATA MALAYA ANAWEZA KUKUKATAA WAKATI HUO NGUVU ZAKO ZINAKUWA ZIPO VIZURI KABISA. HII ILIMTOKEA JAMAA YANGU MMOJA AMBAYE ALIISHI NA HILO TATIZO TANGU AKIWA FORM 5, KAMALIZA CHUO MWAKA WA TATU, AMEANZA KAZI MWAKA WA PILI AKAPATA TIBA, WIKI ILIYOFUATA ALIOA.
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....
Ovaaa