Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

Kondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.

Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA

Mambo mengine utajifunzia huko.

Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.

Zaid ni maji Mara moja
Kaka spencer kwema?..i see u broo
 
Karibu sana mkuu, mi mwenyewe sio muda baade kidogo mchana nitaenda, ni pazuri kiukweli. tarajia mengi huko ili usipokuwa makini utabadilisha dini ikibidi hadi kabila maana kuna watoto wakali hatareeee. ukitoka dom utaanza kupita makutopora,mzakwe,zanka,mayamaya,zamahero, mtungutu (hapa kuna msitu mkubwa),chenene,haneti,kidoka,kambi ya nyasa, chemba, kelema (maaraufu kwa vindege) , hapo utaitafuta bicha (warangi walishindwa kuita beach), halafu kondoa mjini,

kama unatokea Dar wakati wa kurudi unaweza kupita shortcut, ambayo inatokea kiteto halafu Narco ambapo utaunga lami inayotoka dom -moro, hapo utapita mondo,simba,goima,songolo,chandama, mrijo, kiteto hadi narco.

watu wa kondoa wanapenda sana wageni. kuna wakandarasi walikuja kujenga barabara baada ya mradi kuisha, wakatafuta viwanja wakajenga huko huko na kuoa. ni eneo flan zuri sana.

kama utakuwa na nafasi jitahidi kutembelea taraja la kamba la mjerumani, na chemchem ya kondoa, vipo jirani naamini uta enjoy sana.
Picha mkuu
 
Matapeli saaaaana hawa jamaa,nishafanya shugul flan huko karibia 4months,..hawa jamaa wana uislamu flan hiv so wana ujanja ujanja flan wa kishamba,utapeli mwing
 
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....

Ovaaa
Kondoa ni Wilaya sio Mkoa
 
Yani ni chini ya huo mti tuu.... maajabu kabisaa... me nilikuwa nasimuliwa tu nikaenda kushuhudia kwa macho yangu. tukaenda hadi chini ya huo mti mvua ikatunyeshea, wenyewe wakatuambia ni mibaraka
[emoji16][emoji16]
 
[emoji28][emoji28]
 
Nenda tuu pazuri sana, mimi 1999 nilikula wema sepetu wa kondoa ila nikajulishwa mtoto 2016 baada ya vyuma kukaza. DNA ilihusika. Chukua tahadhari sijui kama Millenium bar ipo kwa sasa maana sijarudi toka enzi hizo.
 
Karibu sana mkuu, mi mwenyewe sio muda baade kidogo mchana nitaenda, ni pazuri kiukweli. tarajia mengi huko ili usipokuwa makini utabadilisha dini ikibidi hadi kabila maana kuna watoto wakali hatareeee. ukitoka dom utaanza kupita makutopora,mzakwe,zanka,mayamaya,zamahero, mtungutu (hapa kuna msitu mkubwa),chenene,haneti,kidoka,kambi ya nyasa, chemba, kelema (maaraufu kwa vindege) , hapo utaitafuta bicha (warangi walishindwa kuita beach), halafu kondoa mjini,

kama unatokea Dar wakati wa kurudi unaweza kupita shortcut, ambayo inatokea kiteto halafu Narco ambapo utaunga lami inayotoka dom -moro, hapo utapita mondo,simba,goima,songolo,chandama, mrijo, kiteto hadi narco.

watu wa kondoa wanapenda sana wageni. kuna wakandarasi walikuja kujenga barabara baada ya mradi kuisha, wakatafuta viwanja wakajenga huko huko na kuoa. ni eneo flan zuri sana.

kama utakuwa na nafasi jitahidi kutembelea taraja la kamba la mjerumani, na chemchem ya kondoa, vipo jirani naamini uta enjoy sana.

Mkuu unaijua Kondoa, unaijua hasa.
 
Mwanamke wa kirangi ni rahisi kumpata kuliko mkwere na mzaramo......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Binafsi ukinipa mrangi na nyoka......naua mrangi naacha nyoka aendelee kuishi.
Mkuu hii kauli niliwahi kuisikia 2001 nilipokuwa chuo, Daaah hivi Ni kweli kumbe??? "Ukikuta nyoka anapambana na mrangi msaidie nyoka!" Hivi root bases ya hii kauli Ni Nini??
 
Sifa kuu ya warangi ni wasafi sana na wazuri sana kwa sura tena sana.

Watafutaji sana shuguli kuu za kiuchumi ni kilimo na ufugaji

Ila chini dah ni kuchapana tuu
Kwenye ilo la usafi nakubaliana nawe kabisa
 
Mkuu hii kauli niliwahi kuisikia 2001 nilipokuwa chuo, Daaah hivi Ni kweli kumbe??? "Ukikuta nyoka anapambana na mrangi msaidie nyoka!" Hivi root bases ya hii kauli Ni Nini??
Mkuu ogopa sana mtu anayeitwa mrangi hasa mwanaume wa kirangi ni hatari kwa afya ya jamii.
 
Back
Top Bottom