mzee baba, nami nataka kwenda huko[emoji123]Kondoa Tamu bana. Unaanza na Chandama . hapa kuna watoto Wa kirangi wazuri. Lkn watoto wa Chandama ni Wa rangi weusi hawa ni wale wanaoitwa Wa Rangi Wa Chemba.
Sifa za wanawake weusi Wa ki rangi ni wapole sana lkn ukiwauzi wanaweza kukuua.
Kuanzia "Aneti " mpk kondoa mjini hapo jiandae Kula Vindege. Wa rangi ni maaruf kwa kuwinda ndege Wa polini na kuwa kaanga vizuri kabisa kisha wanauzia abiria wanaotoka na kuingia Kondoa. Vituo vingi utakavyopita utakuta nyama nyingi za ndege kiliko ng'ombe na mbuzi.
Ukifika Kondoa mjini sasa . Mavazi rasmi ya kina mama ni Ma dera na starah yaani wanapiga shungi.
Na Kila Ijumaa ndio sikukuu kwa wakazi Wa Kondoa. Mji mzima unafurika Watu kutoka vijiji vyote vya kondoa wanakutana Katikati ya mji kwa kipika mbali mbali. So km utakua unataka Wanawake Wa kujiburudishia basi siku iyo ni wengi mnooo .
Sifa ya Mji Wa Kondoa ni mji ulio kimya sana , hakuna sehem za starehe kwa kuwa nature ya wakazi Wa pale wengi ni watu Wa kufanya ibada. Kuna miskiti kila mtaa lkn pia kila mkazi Wa kondoa ni mfanya biashara.
Tarajia kuona daraja la kamba la mjerumani karibu kabisa na gereza la kondoa , lakini pia Tarajia kuona m buyu wa kihistoria ulio katikati ya mji ambao Tan roads walishindwa kuukata ili wapitishe barabara kutokana na Maajabu yake.
Mbuyu huo huo ndio ulipelekea kuhamishwa kwa stendi kuu ya mabasi kondoa kuwekwa eneo jingine.
Tarajia kupendwa na Mwanamke Wa kirangi kirahis sana km utamnunulia kiatu kizuri , dera au cheni.
Tarajia ku logwa ukila mke wa mtu kondoa.
Lkn pia Tarajia upinzani wa hali ya juu ktk siasa kwa kuwa wakazi wengi Wa kondoa ni wafuasi wa chama cha CUF.
Km hujaoa ni rahis kupata mke bora kondoa ila ukikosea kuchagua utaopoa mwanamke ambae atakufanya uwachukie wanawake wote duniani.
Ni wazuri sana km Wa mbulu , wasomali ,wanyaturu au Wa habesh Wa Ethiopia.
Nenda salama Kondoa.
Warangi hawataki kufungamana na ndugu zao Wagogo ...Kondoa ni Mkoa siku hizi Mkuu?
ngoja niende hukoMoto wa karatasi maharage yanaiva.
ja nini aeTenga kwa valangi mukulu kuna vasinga vabohaa
nauli sh? kutoka dodoma mjini hadi hapo kondoa center [emoji16] [emoji23]Mimi ni mzaliwa wa Kondoa.Mengi yamesemwa lkn ninachotaka kukwambia ni kwamba Kondoa ni mji salama sana,watu wake ni wastaarabu sana.Mji wenyewe umejengwa ktk street ni mji msafi na unaweza kutembea hadi usiku wa manane hakuna wakabaji.Kwa upande wa vyakula vipo vingi sana na kwa bei nafuu.Tahadhari jiepushe na wanawake hadi uwe umewaelewa vizuri maana kuna tabia ya kufanyiwa ukikutwa na mke wa mtu au dem wa mtu.Karibu sana Kondoa naamini ukishapazoea hutataka kurudi tena kwenu.
aiseee najipanga nienda hukoMoja kati ya sehemu unazotakiwa kufika hapa duniani ni Kondoa.Wanawake weupe, wazuri na hali ya hewa yenye kuvutia utavipata kondoa.Kuna sehemu za starehe kibao tu na zilizotulia;kdo n mji uliotulia na wengi wao wana hof ya mungu.
KoloMichoro ya Mapango haipo Kondoa Mjini. Ipo mbali sana sehem moja inaitwa PAHI .
Dom -Kondoa nauli 8000 - 12000nauli sh? kutoka dodoma mjini hadi hapo kondoa center [emoji16] [emoji23]
hata mm najiandaahii thread imenifanya nipate hamu ya kwenda kutembea kondoa japo siku moja in my life time,in shaa allah!
Muwiire uwo mwanawiito.Tenga kwa valangi mukulu kuna vasinga vabohaa
nami najiandaa maana pana sifa sikivu sana[emoji16]Kuna mengi yamesemwa ya kweli na mengine ya uongo.
Kwa hiyo mwanamke yoyote utakaye mtongoza mara moja akakubali ni mrangi. KARIBU sana Kondoa ni wilaya nzuri sana. Ukifika niambie nije nikusalimie
[emoji23] [emoji123]Moja ulilosahau, hasa kwa warangi, wafupi weupe ni wepesi mno kukuvulia ile nguo ya ndani! na wanayajua mambo kwelikweli!
We si Mweenda tuku kweri.Tenga kwa valangi mukulu kuna vasinga vabohaa
nyumba za wageni sh? nataka nikakae kama mwezi mzimaDom -Kondoa nauli 8000 - 12000
Wewe unachanganya na wagogoWanapenda Sana ccm halafu ni maskini wakutupa na ni ombâ omba balaa
Mikoa mingi bei ya vyumba zinafanana 5000 - 30000nyumba za wageni sh? nataka nikakae kama mwezi mzima
[emoji123] [emoji23]Mwanamke wa kirangi ni rahisi kumpata kuliko mkwere na mzaramo......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Binafsi ukinipa mrangi na nyoka......naua mrangi naacha nyoka aendelee kuishi.