Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

Mleta uzi umenikumbusha sehemu za haubi, loo,farkwa,aneti etc ....long time hiyo kwenye ku hustle
 
Mleta uzi umenikumbusha sehemu za haubi, loo,farkwa,aneti etc ....long time hiyo kwenye ku hustle
 
Nashangazwa Uislam wameupataje kama Wana Asili nasi Wairaqw kwetu ni Ethiopia i wonder why Wengi wao ni Muslim na hao Waupe kuna Mmoja aliniambia Babu yao alikuwa ni Mwarabu nilihisi ananidanganya ila nikamezea.... Lakini Nywele zao si kama Zetu zao ni za kibantu zaidi.... Wengi wanasema sio wachoyo wa haja Sasa dini wanaing'ang'ania kulikoni....
 


Ukitika Soya unakuja
Songolo ,
Chandama ,
Goima,
Mondo
Kisha unaingia Kondoa Mjini.
 
Karibu sana mkuu, mi mwenyewe sio muda baade kidogo mchana nitaenda, ni pazuri kiukweli. tarajia mengi huko ili usipokuwa makini utabadilisha dini ikibidi hadi kabila maana kuna watoto wakali hatareeee. ukitoka dom utaanza kupita makutopora,mzakwe,zanka,mayamaya,zamahero, mtungutu (hapa kuna msitu mkubwa),chenene,haneti,kidoka,kambi ya nyasa, chemba, kelema (maaraufu kwa vindege) , hapo utaitafuta bicha (warangi walishindwa kuita beach), halafu kondoa mjini,

kama unatokea Dar wakati wa kurudi unaweza kupita shortcut, ambayo inatokea kiteto halafu Narco ambapo utaunga lami inayotoka dom -moro, hapo utapita mondo,simba,goima,songolo,chandama, mrijo, kiteto hadi narco.

watu wa kondoa wanapenda sana wageni. kuna wakandarasi walikuja kujenga barabara baada ya mradi kuisha, wakatafuta viwanja wakajenga huko huko na kuoa. ni eneo flan zuri sana.

kama utakuwa na nafasi jitahidi kutembelea taraja la kamba la mjerumani, na chemchem ya kondoa, vipo jirani naamini uta enjoy sana.
 
Siku ukifika tu lazima Kondoa nzima wajue, kikubwa zile mbwembwe za mjini ukiingia Kondoa ziache maana hawakawiii kukufuatilia ondoa heruki K katika Kondoa utapata maana yake
 
 
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....

Ovaaa
Mkoa wa kondoa!!?
 
Warangi ni Al-shabaab, Islamic state na ni wachawi... Uwe makini.
 
Usikose kutembelea chemi chemi ya maji moto hapo chini karibu kabisa na town sijui panaitwaje nishasahu kitambo sana tulienda kwenye tour ya P/school. halafu pia kuna mti muda woote unanyesha mvua hapo hapo town
 
daa kiufup watoto wa kondoa n wazurii mnooo na wakkuoenda wanakupenda haswaa ila wanawvu balaa na akibain ww n mdanganyfu katka mapenz anaweza hata kukufanyia jambo la kishrkna maana kwenye hyo mambo wako vzurii balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…