Sifa zipi zinatakiwa kujiunga na mafunzo ya ualimu

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Heshima kwenu wadau.

Samahani kwa kuwasumbua.Hivi ili ukidhi sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stahashada ya msingi zamani iliitwa ngazi ya cheti inatakiwa uwe na ufaulu wa daraja gani na pointi ngapi kwa waliomaliza 2005 hadi 2012.

Asante nawasilisha.
 
Miaka yote ulikua unafanya nn? Auna vigezo mkuu kauze kahawa

Tehe tehe tehe! Lazima mbega imekupanda ubongoni, hujui unamjibu nani na kwa sababu gani niulize hivyo,simply ungejua pia kuna hata generocity.
 
Acha ujinga we unaekoment pumbaa wengine wanauliza kwa niabaaa ya wadogo zao
 
Kwalie comment ujinga apo juu na mungu amuone kama kweli alitoka kwa mwalimu akafika apo alipo akumbuke ana watoto watakija pata jibu hilo hilo alilotoa what does around comes around
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…