mimi sijawahi kufikishwa kileleni na mwanaume yeyoye tangu nizaliwe.nimeshakua na marafiki wa kiume na sasa nimeolewa ila sijawahi kufikia kilele.nafurahia foreplay na mengine yote ila ikifikia hatua ya kukutana raha yote inayeyuka.hata nikiwa yayari vipi huwa haisaidii.nifanyeje,naumwa au la..kwakweli sina raha maana hiyo ni sekta muhimu sana kwa binadamu na kwenye ndoa.nalazimika kufake kilele kila inapobidi.