Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
asanteni sana kwa mawazo.PM ni nini?
P=private
M=message
Njoo tulonge. Hahaha jokin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asanteni sana kwa mawazo.PM ni nini?
nampenda sana na ananiandaa vizuri na huwa naweka mawazo yangu yote kitandani.
mimi sijawahi kufikishwa kileleni na mwanaume yeyoye tangu nizaliwe.nimeshakua na marafiki wa kiume na sasa nimeolewa ila sijawahi kufikia kilele.nafurahia foreplay na mengine yote ila ikifikia hatua ya kukutana raha yote inayeyuka.hata nikiwa yayari vipi huwa haisaidii.nifanyeje,naumwa au la..kwakweli sina raha maana hiyo ni sekta muhimu sana kwa binadamu na kwenye ndoa.nalazimika kufake kilele kila inapobidi.