Sifikirii kama kuna ulazima wa kuendesha zoezi la sensa ya watu na makazi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi

Sensa ni ishara kuwa sisi ni mifugo, na ukiwa na mfugo wako unaufanya chochote unachotaka. Ndio maana tunalazimishwa kupeleka watoto shule wakaandikwe programming (mind programming).
Tunalazimishwa kugongwa chanjo mara tu unapozaliwa.
Lazima ujue idadi ya mifugo yako ili kama inaongezeka na huna pesa za kuitunza ufanye namna ya kuipunguza kwa kuichinja.
Nk nk nk.
 
hahahaa
 
Nadhani mleta mada, huelewi maana ya sensa wewe.
Maana ya sensa siyo issue, main issue ni kwa namna gani takwimu za sensa hutumika kutatua changamoto mbalimbali? Mfano tumeshindwa kutumia takwimu za sensa ku fore cast kwamba for the next five to ten years tutakuwa na wanafunzi wangapi wanaanza darasa la kwanza, wangapi watakuwa wanamaliza form 4 & 6 etc ili sasa tuweze kujenga miundombinu ya kutosha kwenye mashule (madarasa, madawati, walimu etc) in advance. Badala yake kila mwaka ni kukimbizana na wazazi mara leteni madawati mara michango ya madarasa etc etc
 
Mambo lazima yaende Tu Mzee , usipofanya Sensa kwa nchi kama zetu , hzo hela zitapigwa Tu na wahuni na hutapata chochote
Mbona katiba mpya imesubiri kwanza Uchumi ufufuliwe?
 
Ni kweli tutumie mbinu zingine kufahamu idadi ya watu ikiwezekana.
Mbinu zipo kabisa, mfano ukitaka kupata idadi ya watu, Kaya na status ya nyumba wanazoishi plus other economic and social activities kwa kila kijiji nchi nzima ni jambo rahisi sanaa. Ni swala la watu wa kitengo cha Takwimu kufanya training kwa kila mkoa/wilaya,, andaa madodoso, ambayo yanaingizwa kwenye tablets kwa mfumo kama wa ODK,,, then ajiri kwa muda mfupi graduates walioko mtaani wenye uelewa wa computer wanapewa nao short training then wanasambazwa kwenye kila kijiji na mitaa. Hii nchi ina vijiji/mitaa 15,000 so in just three to six months all information zitakuwa captured na kuingizwa moja kwa moja kwenye servers...
 
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa. Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA? nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.
Nasikitika sana kama aliyeandika hapa umebahatika kupata elimu hata ya darasa la saba.

Ina maana mpaka leo hujui umuhimu wa sensa ya watu na makazi kwa maendeleo ya Taifa?

Nchi za ulimwengu wa 3, lazima kufanya sensa kwasababu mifumo yetu bado haitupatii picha kamili ya wakazi wetu. Ni ngumu kupanga mipango ya maendeleo kama hujui idadi ya unaowapelekea huduma.
 
Sensa (kujua idadi ya watu) ni muhimu kuwa nchi ktk kupanga mambo mengi kiuchumi na kijamii.
Lakini ninatoa wazo. Tujenge mifumo ambayo itatupa idadi ya watu Bila kuwa na ulazima wa kuwahesabu watu. Mfano mifumo ya data za vizazi na vifo iboreshwe mpaka vijijini. Gharama ya sensa moja tuu inatosha kuweka mifumo hii. Tutumie advantage ya teknolojia ya kisses iliyopo.
Jamani sensa toka Enzi Yesu hajazaliwa, mpaka sasa hatuboreshi????
 
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.

Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?

Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.

Mwaka jana USA walifanya Sensa katikati ya kipindi cha Covid. Sensa ni muhimu hata kuongeza au kupunguza idadi ya majimbo ya kisiasa. Tatizo ni pale mikoa au wilaya kuanzishwa kiholela bila sensa.
 
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.

Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?

Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.

Kama jina lako lilivyo you are really lost. Sometimes I wonder how bado kuna binadamu Kama wewe. Hakuna Jema kwa Serikali ila Wewe ndo unajua yote. Ungeanza kutuambia kuhusu namna unavyoendesha maisha yako then Itakusaidia kukusaidia.

Hotuba ya Mratibu wa hiyo sensa kaeleza mengi sana. Mambo yote ambayo kwa maendeleo na usalama wa nchi Ni muhimu kaeleza. Kama Taifa tunakwama sana kutokana na kutokuwa na mpangilio. Kila kitu kina bajeti yake na mipango. Hiyo Sensa haijapangwa ndaniii ya miezi 3-7. ni muda. Watu wengi sana watapata ajira katika kipindi hiki. So huo uchumi wa watu utaguswa. Wapishi, mahotel na hata machangudoa nk.
 
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.

Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?

Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.
There will never be a perfect time kufanya sensa

sensa ni basic requirement Kwa nchi na upangaji wa maendeleo yake
 
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.

Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?

Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.
Kweli bado kazi ipo, kwa mtizamo huu.

Nikupe hasara za kupanga bila takwimu au kujui idadi ya watu, Ni saga ya tozo. Nakuapia kama wangetumia takwimu halisi si ajabu tozo zingelikuwa sh 1,000 kwa million 10. Na hapo usingesikia kelele za watu.

Unaambiwa nchi ambayo haina takwimu sahihi huwa haikusanyi kodi. Maana wataweka kiasi kikubwa na watu watakwepa tu.
 
Nchi ilikosa lini ukatili dhidi ya Raia wake?
Umewahi kusikia kuna mkoa au wilaya hauna mkuu wa wilaya, au mkurugenzi?
Ila ni rahisi sana kusikia wilaya haina afisa kilimo, afisa mifugo n.k
Sensa kwa Tanzania sometimes ni upuuzi mtupu
 
hiyo sensa hela yenyewe wanalipwa watanzania wenywe haina noma tuchukue chetu
Nadhani kwa ukosefu wa ajira ulivyo, watakaopata nafasi ya kuhesabu fedha watakayolipwa wataiwekeza vizuri.
 
Back
Top Bottom