sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
kitz tz hii ni mianya ya kupiga pesa tu. Mtanzania maskini hamsadiiHivi tukiwa watu milion 50, au 60 au 65 what difference will it make?
Sensa hasa hii ya sasa haiwezi kumake difference.
hahahaaSensa ni ishara kuwa sisi ni mifugo, na ukiwa na mfugo wako unaufanya chochote unachotaka. Ndio maana tunalazimishwa kupeleka watoto shule wakaandikwe programming (mind programming).
Tunalazimishwa kugongwa chanjo mara tu unapozaliwa.
Lazima ujue idadi ya mifugo yako ili kama inaongezeka na huna pesa za kuitunza ufanye namna ya kuipunguza kwa kuichinja.
Nk nk nk.
Maana ya sensa siyo issue, main issue ni kwa namna gani takwimu za sensa hutumika kutatua changamoto mbalimbali? Mfano tumeshindwa kutumia takwimu za sensa ku fore cast kwamba for the next five to ten years tutakuwa na wanafunzi wangapi wanaanza darasa la kwanza, wangapi watakuwa wanamaliza form 4 & 6 etc ili sasa tuweze kujenga miundombinu ya kutosha kwenye mashule (madarasa, madawati, walimu etc) in advance. Badala yake kila mwaka ni kukimbizana na wazazi mara leteni madawati mara michango ya madarasa etc etcNadhani mleta mada, huelewi maana ya sensa wewe.
Mbona katiba mpya imesubiri kwanza Uchumi ufufuliwe?Mambo lazima yaende Tu Mzee , usipofanya Sensa kwa nchi kama zetu , hzo hela zitapigwa Tu na wahuni na hutapata chochote
Zaidi ya katiba mpya?Sensa Ni mojawapo ya mikakati ya kiuchumi huwezi kukwepa hii Ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani
Mbinu zipo kabisa, mfano ukitaka kupata idadi ya watu, Kaya na status ya nyumba wanazoishi plus other economic and social activities kwa kila kijiji nchi nzima ni jambo rahisi sanaa. Ni swala la watu wa kitengo cha Takwimu kufanya training kwa kila mkoa/wilaya,, andaa madodoso, ambayo yanaingizwa kwenye tablets kwa mfumo kama wa ODK,,, then ajiri kwa muda mfupi graduates walioko mtaani wenye uelewa wa computer wanapewa nao short training then wanasambazwa kwenye kila kijiji na mitaa. Hii nchi ina vijiji/mitaa 15,000 so in just three to six months all information zitakuwa captured na kuingizwa moja kwa moja kwenye servers...Ni kweli tutumie mbinu zingine kufahamu idadi ya watu ikiwezekana.
Nasikitika sana kama aliyeandika hapa umebahatika kupata elimu hata ya darasa la saba.Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa. Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA? nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.
Hapana unapozungumzia katiba mpya ni jambo kubwa zaidi na lenye mchakato mpanaZaidi ya katiba mpya?
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.
Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?
Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.

There will never be a perfect time kufanya sensaKatika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.
Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?
Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.
[emoji1][emoji1]Wafanye sensa maana mara ya mwisho walivyopita kwangu nlikuwa Sina Range na nyumba ya ghorofa saivi waje aisee nimepania sana
Kweli bado kazi ipo, kwa mtizamo huu.Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali iliyopelekea hatua kadhaa za kubana matumizi kufaatwa.
Mwakani taifa letu litafanya zoezi la sensa kwa maana kwamba mabilini ya fedha yatatumika. Miongoni mwa mambo na maswali ya kujiuliza JE NI KWELI KUNA ULAZIMA WA KUENDESHA SENSA KWA DUNIA NA HALI YA SASA?
Nchi hii haijui kama kina mama wajawazito wanapoteza maisha kwa ukosefu wa huduma za afya karibu? PELEKA PESA UKAJENGE MIUNDOMBINU YA AFYA, nchi hii haijui watoto wanakaa chini? Wanasomea chini ya miti? PELEKA PESA HIZO UKAWEKE MIUNDOMBINU YA ELIMU.
Pamoja na wewe ndugu? Au unatania.Hivi tukiwa watu milion 50, au 60 au 65 what difference will it make?
Sensa hasa hii ya sasa haiwezi kumake difference.
Nadhani kwa ukosefu wa ajira ulivyo, watakaopata nafasi ya kuhesabu fedha watakayolipwa wataiwekeza vizuri.hiyo sensa hela yenyewe wanalipwa watanzania wenywe haina noma tuchukue chetu